Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Agosti 21, 2023

Mkataba hamkuandikiwa waislamu, wameandikiwa Serikali.
Watoe maoni kwenye mkataba sio matamko. Waseme sisi yeye kupewa ardhi bahari na anga sio issue. Kupewa bandari zote sio issue. Ukomo ambao haujaandikwa sio issue. Ingawa wangesema japo ukomo utawekwa kwenye hizo contract. Na kwa nini contract zinaendwa kufichwa kwa kubadili sheria. Je ni kweli huyu jamaa atapewa kila kitu at tuseme atadhibiti idadi ya mizani na wizi
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Miaka 60 Ya Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yatakayofanyika Jumatatu tarehe 21 Agosti 2023 katika Chuo cha Tumaini Makumira mkoani Arusha.

Mwenyeji wa Rais Samia anatarajiwa kuwa Mkuu wa Kanisa La Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dkt Fredrick Shoo

View attachment 2722805
Propaganda walizoeneza kkkt wametumia gharama kubwa mnooo
 
Back
Top Bottom