Ufanisi wa utendaji katika utumishi wa umma huleta tija hasa katika kukuza maendeleo ya nchi.
Dhana hii inachagizwa kwa karibu sanaa na matokeo ya ufanisi katika utendaji hasa katika taasisi asasi za serikali.
Aidha uadulifu ni dhana na kiungo muhimu Sana katika kulisukuma gurudumu hili la Maendeleo ndani ya nchi yetu kwa usawa bila ubaguzi.
MH.Rais dhana ya Uzalendo ndani ya nchi hii inakosa mashiko kwa jinsi ambavyo uongozi wetu unajengwa kibinafsi kuanzia juu kwenda chini, hivyo kuchangia kwa karibu vitendo vya ufisadi na kujilimbikizia Mali bila kujali wananchi walio wengi.
Serikali ya awamu ya kwanza iliwekeza kwenye nyanga nyingi za kukuza uchumi wa nchi na kujali masilahi ya wananchi.
Ndio maana kipindi hicho tulikuwa na viwanda vingi vya nguo hapa nchini Kama vile Mwatex, urafiki nk, ikiwa ni pamoja na kiwanda Cha general tire Arusha, kiwanda Cha magari aina ya nyumbu Kibaha.
Kupitia ubinafsi ambao hauna masilahi kwa wananchi wetu na jamii yetu kwa ujumla, ninaomba uzidishe kidogo ukali kwa kupunguza spidi ya wateule wako katika kutanguliza ubinafsi kuliko kujali masilahi ya wananchi wetu.