Rais Samia mikeka yetu sisi maskini ni ya aina nne, usiipuuze

Rais Samia mikeka yetu sisi maskini ni ya aina nne, usiipuuze

Samiaagain2025

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2020
Posts
4,834
Reaction score
5,310
Nakusalimu kwa jina la JMT

Jana mheshimiwa rais ulitoa mkeka wa ma-DC.Pongezi kwa waliobahatika kwenye huo mkeka.

Kwa upande wetu sisi maskini,Mikeka yetu ni ya aina nne zifuatazo:
1.Ualimu
2.Polisi
3.Afya
4.Kilimo na mifugo.


Tafadhali tunakuomba usiipuuze.

Tukumbuke, Tukumbuke, Tukumbuke.
 
Ualimu na afya si tayari mkuu.
 
Natamani sana nami mwl ningekuwepo katika mkeka huu ningewakilisha walimu wenzangu ila mama hajaniona
 
Mshahara wa DC ni sawa na mshahara wa walimu 12 wa shule ya msingi(grade A).
Sijui ni kweli?
 
Back
Top Bottom