S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 4,834 Reaction score 5,310 Jun 20, 2021 #1 Nakusalimu kwa jina la JMT Jana mheshimiwa rais ulitoa mkeka wa ma-DC.Pongezi kwa waliobahatika kwenye huo mkeka. Kwa upande wetu sisi maskini,Mikeka yetu ni ya aina nne zifuatazo: 1.Ualimu 2.Polisi 3.Afya 4.Kilimo na mifugo. Tafadhali tunakuomba usiipuuze. Tukumbuke, Tukumbuke, Tukumbuke.
Nakusalimu kwa jina la JMT Jana mheshimiwa rais ulitoa mkeka wa ma-DC.Pongezi kwa waliobahatika kwenye huo mkeka. Kwa upande wetu sisi maskini,Mikeka yetu ni ya aina nne zifuatazo: 1.Ualimu 2.Polisi 3.Afya 4.Kilimo na mifugo. Tafadhali tunakuomba usiipuuze. Tukumbuke, Tukumbuke, Tukumbuke.
P Paf JF-Expert Member Joined May 25, 2021 Posts 1,694 Reaction score 3,309 Jun 20, 2021 #2 Madereva pia tupo
Godo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 1,107 Reaction score 1,488 Jun 20, 2021 #3 Ualimu na afya si tayari mkuu.
Ooh yes Senior Member Joined Jul 31, 2020 Posts 174 Reaction score 116 Jun 20, 2021 #4 Natamani sana nami mwl ningekuwepo katika mkeka huu ningewakilisha walimu wenzangu ila mama hajaniona
Natamani sana nami mwl ningekuwepo katika mkeka huu ningewakilisha walimu wenzangu ila mama hajaniona
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Jun 21, 2021 #5 Fao la kujitoa lisisahaulike
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 4,834 Reaction score 5,310 Jun 21, 2021 Thread starter #6 Godo said: Ualimu na afya si tayari mkuu. Click to expand... Tayari lini. Hizo ajira 6000 wakati Kuna walimu zaidi ya Laki moja mtaani!.
Godo said: Ualimu na afya si tayari mkuu. Click to expand... Tayari lini. Hizo ajira 6000 wakati Kuna walimu zaidi ya Laki moja mtaani!.
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 4,834 Reaction score 5,310 Jun 21, 2021 Thread starter #7 Godo said: Ualimu na afya si tayari mkuu. Click to expand... Tayari lini. Hizo ajira 6000 wakati Kuna walimu zaidi ya Laki moja mtaani!
Godo said: Ualimu na afya si tayari mkuu. Click to expand... Tayari lini. Hizo ajira 6000 wakati Kuna walimu zaidi ya Laki moja mtaani!
S Samiaagain2025 JF-Expert Member Joined Dec 2, 2020 Posts 4,834 Reaction score 5,310 Jun 21, 2021 Thread starter #8 Mshahara wa DC ni sawa na mshahara wa walimu 12 wa shule ya msingi(grade A). Sijui ni kweli?