Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwani wale wa Danish ambao ni wahisani wakubwa kabisa wanaofunga ubalozi wao nchini walitoa sababu gani? Sidhani kama hii kauli ina ukweli. Waseme tu hawawezi kufuata demokrasia. Wahisani wana masharti ambayo wanahofia yatawapoka madaraka na hivyo kunyang’anywa tonge mdomoni.Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia watanzania kwa sasa wahisani hawaleti misaada nchini, wanataka biashara ili kugawana faida
Amesema kwa sababu hiyo ni lazima tujinyang'anye wenyewe ili kufadhili miradi ya nchi hii
Ameyasema hayo alipokuwa Tegeta akisalimia wananchi akiwa katika safari ya kuelekea Bagamoyo kutengeneza filamu ya kuitangaza Tanzania
Well said ndiyo hiki kinatutafunaKwani wale wa Danish waliofunga ubalozi walitoa sababu gani? Sidhani kama hii kauli ina ukweli. Waseme tu hawawezi kufuata demokrasia. Wahisani wana masharti ambayo wanahofia uatawapoka madaraka na hivyo kunyanh’anywa tonge mdomoni. Bora kuendelea kukamua ng’ombe aliyekonda na wao waendelee ma viete yao wakitafuna keki ya Taifa kwa kupoteza a.
Analipa kodi kama anavyolipa spika, mshenga wa (y)esu kule NazaretiYeye mshahara wake analipa kodi?
Halipi chochoteAnalipa kodi kama anavyolipa spika, mshenga wa (y)esu kule Nazareti
Halafu ndo ingekuwa kweli ni Uchumi wa kati walau inge make a sense.....lakini sio uchumi wa kati ya "Ripoti za Ki-Nadharia" za kubumba🙂....Ni viini macho na ndio maana WaTanzania wanateseka sasa.Hayo ndo madhara ya uchumi wa Kati.
Tuliaminishwa sifa za kijinga kabisaHalafu ndo ingekuwa kweli ni Uchumi wa kati walau inge make a sense.....lakini sio uchumi wa kati ya "Ripoti za Ki-Nadharia" za kubumba🙂....Ni viini macho na ndio maana WaTanzania wanateseka sasa.
Maana ukishaingia uchumi wa kati nchi inakuwa hai-qualify hata kufaidika na mipango kuinua uchumi kama vile AGOA na Millennium Challenge etc mfano mdogo tu kwa upande wa US
NdioYeye mshahara wake analipa kodi?
Peleka hukoNdio
Walisema wanannagalia nchi fukara zaidi acha upitoshaji eti demokrasia ,hivi nyie bavicha akili zenu huwa ziko rikizoKwani wale wa Danish ambao ni wahisani wakubwa kabisa wanaofunga ubalozi wao nchini walitoa sababu gani? Sidhani kama hii kauli ina ukweli. Waseme tu hawawezi kufuata demokrasia. Wahisani wana masharti ambayo wanahofia yatawapoka madaraka na hivyo kunyang’anywa tonge mdomoni.
Wanaona ni bora kuendelea kukamua ng’ombe aliyekonda na wao waendelee na ma viete yao wakitafuna keki ya Taifa kwa kupokezana.
CHADEMA kuna demokrasia?Shida siyo uchumi wa kati, shida ni democrasia ambayo CCM hawataki kufuata masharti ya wahisani