Acha uongo mama ukweli ni kwamba umesababisha nchi kuwa maskini wewe mwenyewe na ukatili wako na ukaidi wako , hakuna cha uchumi wa kati wala wa pembeni uchumi wa kati utoke wapi kwa sasa kwenye nchi ambayo haizalishi chochote, nyoosha maelezo mama acha porojoRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani.
'Misaada na mikopo tuliyoizoea inaendelea kuondoka tukaze buti "
View attachment 3642426
Huyu mkurugenzi anaonekana kibri sana,jamaa anaongea yeye anatabasamu!Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026
'Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "
View attachment 3642426
Huyu nae mnafiki Kama wanafiki wengine,Mayala/njaa ni mbaya!*Tulitokea huku!*sasa tunaelekea.......
Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026
'Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "
View attachment 3642426
Katika kukaza buti tukaze kwenye kudhibiti ufisadi,wizi,rushwa na matumizi mabaya ya rasilimali za taifa,sii kwa maneno ila kwa vitendo,zaidi tuukubali utawala bora wa kidemokrasia na sheria,ili hata ifike siku moja tujiepushe na vikwazo na turudishe sifa ya kupata japo hiyo mikopo nafuu,badala ya mikopo kausha damu,kwani itazidi kulididimiza taifa.Rais Samia Suluhu, amewataka Watanzania na viongozi kukaza buti na kufunga mikanda kutokana na mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa yanayoendelea duniani, amesema hayo Agosti 3, 2026 katika uzindizi wa Nyenzo za Utekelezaji wa Dira 2050 pamoja na kushiriki katika Mkutano wa Mazungumzo Maalum na Sekta Binafsi kuhusu Utekelezaji wa Dira 2050, Agosti 03, 2026
'Misaada na mikopo tuliyo izoea inaendelea kuondoka tukaze buti "
View attachment 3642426