Rais Samia: Mishahara ya wafanyakazi wa CCM imepanda kwa 84% kwa watumishi wa chini na 25% kwa wale wa juu. TOT nao mishahara juu

Mishahara ya wafanyakazi wa CCM hii hapa: {Kwa mwezi}
1. Mwenyekiti wa CCM wilaya analipwa Tsh 40,000/=
2. Katibu wa CCM wilaya analipwa Tsh500,000:=
3. Katibu wa CCM kata analipwa Tsh 10,000/=
4. Katibu wa CCM tawi analiwa Tsh 5,000/=
 
Walimu wasubiri kwanza wakati CCM na wenye vyeo wakila kwa kujipimia
 
CCM zaidi ya kulipiwa na Ikulu inapesa zinatoka wapi?
Ccm ina vyanzo vingi sana vya mapto, pia michango ya wnanachama mwenyekiti hawezi kuzitafuna kama kule ufipa.
Mwaka juzi walikua na zaidi ya billion 30 cash bado asset.
 
Ccm ina vyanzo vingi sana vya mapto, pia michango ya wnanachama mwenyekiti hawezi kuzitafuna kama kule ufipa.
Mwaka juzi walikua na zaidi ya billion 30 cash bado asset.
Ufipa mtunza hazina lazima awe raia wa migombani st!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…