Rais Samia mpe Kabudi Wizara ya Mambo ya Nje awanyooshe mabeberu. Ondoa falsafa ya kufungua nchi

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu

Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti

Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji na urafiki kazini usilee kikundi kidogo ukakiacha kikiangamiza mamilioni ya watu
 
Rais Samia mpe Prof kabudi wizara ya mambo ya nje ana uwezo mkubwa Sana wa kuwatikisa mabeberu

usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti

Rudisha utawala wa Aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji na urafiki kazn usilee kikundi kidogo ukakiacha kikiangamiza mamilioni ya watu

Jinga Jinga
 
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu

Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti

Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji na urafiki kazini usilee kikundi kidogo ukakiacha kikiangamiza mamilioni ya watu
Bado una ule ujinga wa magufuli hadi leo!
 
Yaani nchi kwa sasa imekuwa ya vururuvuruu! CCM chama imara inabidi iingilie kati na kuirudisha Serikali kwenye mstari.
 
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu

Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti

Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji na urafiki kazini usilee kikundi kidogo ukakiacha kikiangamiza mamilioni ya watu
Hatatokea wa kushindana na mabeberu, never ever mpaka Africa tujikomboe toka kwa wakoloni. Wengine hawajui kua tumepewa uhuru but colonialism upo palepale. Achen danganya toto.. eti awanyooshe mabeberu 😂😂😂. Kama bara tulishafeli mwanzo kushindwa kuweka misingi imara ya kujitegemea!!
 
Attachments

  • twitter_20221201_165335.mp4
    2 MB
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu

Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti

Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji na urafiki kazini usilee kikundi kidogo ukakiacha kikiangamiza mamilioni ya watu
Una maana kwamba turudi kwenye zama za Giza au siyo. Huoni sasa hivi kila kitu kinaenda poa Sana. Wakulima Wana masoko ya uhakika, ajira kibao, wafanyakazi wameongezeka mishahara, biashara zinastawi Sana nk
 
Yaani nchi kwa sasa imekuwa ya vururuvuruu! CCM chama imara inabidi iingilie kati na kuirudisha Serikali kwenye mstari.
Uvurururu wake uko wapi! We angalia hata comments zilivyo optimistic na positively hoping.
 
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu

Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti

Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji na urafiki kazini usilee kikundi kidogo ukakiacha kikiangamiza mamilioni ya watu
Pole sana ndugu. Kama bado unaamii kuwa Prof Kabudi ana uwezo. Nilitegemea uombe hiyo nafasi upewe wewe mwenyewe na siyo Kabudi. Kabudi alikwishhafeli completely kwa kuwa muabudu wa Magufuli na kujiita katoka JALALANI.
Kabudi amebakiza tu kukaa bungeni Hadi mwaka 2025 kwa ubunge aliozawadiwa na Dikteta Mwendazake
 
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu

Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti

Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji na urafiki kazini usilee kikundi kidogo ukakiacha kikiangamiza mamilioni ya watu

Silaha kubwa ni kujitegemea sio maneno. Unakumbuka Magu alienda kuomba pesa ya shule $500 M ! akaanza kumlaumu zitto! . Tutaheshimika kwa kujitegemea. Sasa watu hawataki hata tozo? Tutajitegemea lini pesa ya afya nyingi ya msaada mpaka leo.Lakini tuwe makini na sheria huwezi kufukuza wawekezaji kiholela bila fidia kwasababu ya vyeo na hawawezi kuwekeza bila sheria
 
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu

Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti

Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji na urafiki kazini usilee kikundi kidogo ukakiacha kikiangamiza mamilioni ya watu

Labda ampe parol kile kitengo alichoacha lyatonga mrema
 
Nashangaa hadi sasa watu wanasemaje Magufuri na wakati kipindi alichokuwepo hakuna aliekamata hiyo ndege hebu jiulizeni hata hili
 
Rais Samia mpe Profesa kabudi Wizara ya Mambo ya Nje ana uwezo mkubwa sana wa kuwatikisa mabeberu

Usifikirie kuwa wazungu wanatipenda hapana sio kweli pamoja na kuifungua nchi tumeishia kuaibika kwa kukamatiwa ndege yeti

Rudisha utawala wa aina ya awamu ya 5 utanishukuru baadaye ondoa ushikaji na urafiki kazini usilee kikundi kidogo ukakiacha kikiangamiza mamilioni ya watu
KABUDI HUYU HUYU wa KANYABOYA?
 
Back
Top Bottom