johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini mkuu wangu? Maana very soon tutakuwa na IGP mwanamke mi ndivyo ndoto zangu zinaniambia kabisa uhakikaHuyu mama sio kabisa, kakosea sana kuzungumza hivi
Ukuu wa Majeshi ni kazi yenye 'nature' ya jinsia ya kiume,Rais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
Hapana kabisaKwanini mkuu wangu? Maana very soon tutakuwa na IGP mwanamke mi ndivyo ndoto zangu zinaniambia kabisa uhakika
Wanawake wenyewe jeshini wa kuhesabu, hawaendi kwenye uwanja wa mapambano wapo kwa ajiri ya molali tuRais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
Mbowe: Hii nchi ina wanaume wa hovyo na wapambeNi kweli wanawake toleo la sasa wanaweza kuliko hata wanaume, mitano tena
that is very significant and powerful statement by the head of state and commander in chief of defense force, politically speaking πRais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
Kama raisi na spika wanawake huyo cdf mwanamke atafanya maajabu ganiRais Samia amesema amefurahi kuona kikosi cha Bendera katika gwaride la Muungano kikiwa na askari wa kike
Rais Samia amesema huo ni Mwanzo na msije shangaa 2030 tukawa na CDF Mwanamke
Source: TBC
why not, and we have sitting woman president and Commander in chief of defense forces πHuyu mama sio kabisa, kakosea sana kuzungumza hivi. CDF Mwanamke HAPANA