PostGE2025 Rais Samia: Msikubali Jeshi letu kuchafuka, hatupaswi kumuacha au kumlinda mtu yeyote mwenye cheo kikubwa au kidogo

PostGE2025 Rais Samia: Msikubali Jeshi letu kuchafuka, hatupaswi kumuacha au kumlinda mtu yeyote mwenye cheo kikubwa au kidogo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
''Msikubali jeshi letu kuchafuka''

Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania amelitaka jeshi la nchi hiyo kutojiingiza katika siasa.

''Hiki chombo kuwe kuna CCM kuwe kuna CHADEMA kuwe kuna chama gani, Hiki chombo kiko tu kwaajili ya kuilinda nchi na kulinda wananchi wa nchi hii''

Samia alikuwa akizungumza katika mkutano wa 9 wa mkuu wa majeshi CDF na makamanda wakuu uliofanyika katika Shule ya Kijeshi ya Ulinzi wa Anga (SKUA) mkoani Tanga.

 
MO29 hao hao jeshi la police waliwalinda wakina nani sio CCM??
 
Jeshi lingeishi kiukweli hayo maagizo ya kikatiba basi leo hii samuya asingekuwa rais wa nchi hii, wananchi walio wengi hawakumpigia kura ile tarehe 29 oct...kila mwwnye akili timamu anajua hivyo!.
 
Back
Top Bottom