Unataka ujipime sio...π
Subiri uwaziri wewe
wewe endelea kuota, ukiamka mambo tayariNisaidie kuota mchana mkuu.Nisiote teuzi pekeyangu
Hivi hawa watu waliambiwa kwamba wakiua watu ndiyo wanakuwa mashujaa wa nchi?Those kids are very stupids!Hahahahaha yule muuaji Kheri James ana miaka 40 lakini ni Mwenyekiti wa mauvccm πππ 40 bado ni kijana?
We ndio hopelessly, acha matusi kwa Rais kenge weweHuyu Rais ni hopeless kabisa!Hii ndiyo njia ambayo ni long-run sustainable ya kutoa ajira kwa vijana?!Mungu kwa nini tunapitia vitimbi hivi?Tumekukosea wapi?Tuna laana ipi?Halafu watu badala ya kusikitika ni wanashangilia vitimbi!
Hapana atakua hajafika 40 bwana ErickHahahahaha yule muuaji Kheri James ana miaka 40 lakini ni Mwenyekiti wa mauvccm πππ 40 bado ni kijana?
Vijana wengi waliharibuπ€Ole Sabaya si alikuwa Kijana?
18-45Vijana umri wao unaanzia miaka mingapi na kuishia miaka mingapi?
Mama kampiga rula Pascal Mayalla sio?Rais amesema Leo kuwa Ma-DC wote wapya watakuwa vijana maana karibuni anataka kufanya mabadiliko makubwa na wote watakaochukua nafasi ni vijana.
Kama ni kweli hii basi Natoa pongezi kwake.
Ok,kwani Rais wa Sasa ashamaliza muda wake Hadi ww uhisi kuwa ilo halitatatuliwa?? Mbona hauna subira dada anguKwahiyo matatizo yaliyoletwa na Jiwe hayatatuliwi ?
Naenda kuwaambia wakukate.Nimeona jina langu, naenda halmashauri fulani hivi
Nakutakia kila la kheri mkuuNimeona jina langu, naenda halmashauri fulani hivi
Joket pia si kijana?π€Ole Sabaya si alikuwa Kijana?
Ni wewe au mtu kaiba avatar yako?Hao vijana itakua kwenye circle za makabaila tu ,
Ila sisi watoto wa wakulima tuendelee kuimba nyimbo ...
Nilitegemea Pascal Mayalla mwaka huu atakula shushu lakini hivi vigezo vya ujana kama vina mtupa vile!!Mama Samia akiwa Live mkoani Mwanza kwenye kongamano la vijana amesema tayari kuna mkeka wa MaDC na wakurugenzi wa mashirika mbali mbali ya serikali na vijana wakae mkao wakula kwani teuzi zitawahusu moja kwa moja kwa kiwango kikubwa.