Rais Samia, Mwanza: Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya utatoka hivi karibuni, wote ni vijana. Mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa

Rais Samia, Mwanza: Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya utatoka hivi karibuni, wote ni vijana. Mkipata fursa hizi mkafanye kama ilivyotarajiwa

Ikimpendeza Rais mh. Samia amteue ndugu Malisa Godlisten ,

Kwakweli uyu Kijana ni Azina kwa Taifa, na kichwani yupo vizuri pia,
Hawa ndio viongozi wa baadae inatakiwa waingizwe mapema kwenye serikali,
 
Hahahahaha yule muuaji Kheri James ana miaka 40 lakini ni Mwenyekiti wa mauvccm 😂😂😂 40 bado ni kijana?
Hapana atakua hajafika 40 bwana Erick
Yupo kimya mwenyewe kama hayupo
 
Kwa nafasi ya Ma Dc Sio budi iwe 50/50 kama vipi ateue wote wanawake tu hiyo nafasi wanaiweza.
 
Mwangomango, mwanasheria msomi, mtetezi wa haki, rais mstaafu Law School of Tanzania, mgombea ubunge jimbo la Rungwe uko wapi/? Kijana mchapa kazi.
Nauliza mimi kama mtumishi wa Bwana, yuko wapi?
 
Mama Samia akiwa Live mkoani Mwanza kwenye kongamano la vijana amesema tayari kuna mkeka wa MaDC na wakurugenzi wa mashirika mbali mbali ya serikali na vijana wakae mkao wakula kwani teuzi zitawahusu moja kwa moja kwa kiwango kikubwa.
Nilitegemea Pascal Mayalla mwaka huu atakula shushu lakini hivi vigezo vya ujana kama vina mtupa vile!!
 
Back
Top Bottom