Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya,
Your browser is not able to display this video.
Mhe. Rais, Aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, na kiongozi mwandamizi katika serikali yako na sasa ni Mbunge wa kuteuliwa na wewe, Mhe. Bashiru A. Kakurwa alipata kunena haya juu ya hitaji la katiba mpya.
Your browser is not able to display this video.
Mhe. Rais sitaki kukupangia wala kukulazimisha. Kwa maneno yao wenyewe waliona hitaji la katiba mpya kabla hawajawa na madaraka, baada ya kuyapata midomo yao imefungwa.
Nipende kukuhakikishia Mhe. Rais umezungukwa na wanafiki wa kiwango cha Jupiter kwenye chama chako, hakuna kiongozi ndani ya CCM kwa sasa atakayeona umuhimu wa Katiba Mpya, lakini pindi mtakapomaliza madaraka yenu na mkarithiwa na viongozi sampuli ya Jiwe ndio mnakumbuka umuhimu wa katiba mpya.
Mama kwa sasa mpini uko kwako, wembe unao wewe mama na uchaguzi ni wako wengine tutabaki kukushauri tu.
Hitaji la katiba mpya si kubwa sana kulinganisha na hitaji LA maendeleo ya watu. Katiba iliyopo sasa ukiacha madhaifu machache iliyonayo ni bora sana na yaweza kutuletea maendeleo. Hitaji la katiba mpya in hitaji la upinzani kuingia madarakani kwa maslahi
binafsi

Tatizo Tanzania watu wamezidisha NJAA na UBINAFSI sijui kwa nini Rais anawasikiliza hawa watu walio shiba miposho minono.
Hakuna Mtanzania ambaye ni mnufaika wa serikali akaongea kitu chochote dhidi ya serikali. Yaani tumekuwa watumwa ndani ya Nchi yetu wenyewe kwa maslahi binafsi.
KAMWE USIFIKIRIE WALIOPO SERIKALINI WATA SUPPORT KATIBA MPYA.
Samia akiwaamini hawa kwa kauli tofauti na hizi walizozitoa zamani kabla hawajawa na vyeo basi ajue wanamdanganya kama walivyomdnganya Magufuli.
Akiondoka madarakani akaja rais mwingine anayetaka katiba, hawahawa ndo watakuwa wa kwanza kumsifu rais mpya na kumponda yeye Samia kuwa alipoteza muda wake kutoshughulikia jambo la msingi