nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Huo ulionao wewe ni upumbavu usiotibikaTunataka umeme 24hrs, tunataka Ajira na Elimu Bora
Hayo mambo ya katiba mpya ni kikundi chenu ndio kinataka
Chadema mlipata viti vingi bungen Kwa katiba hii hii