Rais Samia na CCM kwa busara, sikiliza na ikiwapendeza mfuate ushauri huu juu ya katiba mpya

Kwa hiyo aliyeongea ni nani? Sio Bashiru??

Hivi mbona unakuwa kichwa maji hivi? Kusoma huwezi bado nimekuwekea video bado hutaki kuamini??

Huyo Kabudi na yeye alikua na mtazamo upi?? Na kilichoubadirisha ni nini kama sio madaraka?
Bavicha usipaniki
 
Alipoongea hakuwa katibu mkuu, alikuwa na mtazamo tofauti kwa kutojua nia thabiti ya Mbowe kutaka katiba mpya. Sasa kajua

Umejiunga humu jukwaani mwezi wa nne ili uwe unapost huu utoto dogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…