Rais Samia na Dkt. Nchimbi wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa

Katiba mpya ipo njiani,tuwe na subira,katiba ni mchakato mrefu sana hapana muda suala hili,baada ya underground works kukamilika watanzania tutajulishwa,
#Tuwe watulivu.
 
Yale maneno ya jana ya Dr. Nchimbi kutaka watanzania "wapambane" kupata Katiba Mpya bado yana ukweli.

Katiba Mpya na Tume Huru nchi hii havitapatikana kwa kukaa kwenye meza ya maridhiano, CCM wanajua ukweli hawako tayari kuachia nchi kirahisi hivyo.

Maana halisi ya "pambaneni" kama alivyozungumza Dr. Nchimbi anataka kweli tufanye movement ya kuiondoa CCM madarakani, baada ya hapo ndio tukae chini tuandike katiba mpya tuitakayo kwa kizazi chetu na kijacho.

Dr. Nchimbi alikuwa anamaanisha Katiba Mpya haitapatikana kwa wapinzani kususia chaguzi, kwani wameshafanya hivyo before na maisha yameendelea, kuipata Katiba Mpya ni sharti kwanza CCM iondoke madarakani.
 
Tunaiondoaje
 
Mashujaa ni wale wa October 29. Sio hao wanajeshi wasaliti.
 
Back
Top Bottom