Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wtf hatutaki katiba ya kuletwa na wezi wa kuraKatiba mpya ipo njiani,tuwe na subira,
Hapo mmoja ameamua kuanua ngona juani ili nalo lipite tu.Rais Samia na Makamu wake Dkt. Emmanuel Nchimbi wakishiriki katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa, Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma, Julai 25, 2026.
TunaiondoajeYale maneno ya jana ya Dr. Nchimbi kutaka watanzania "wapambane" kupata Katiba Mpya bado yana ukweli.
Katiba Mpya na Tume Huru nchi hii havitapatikana kwa kukaa kwenye meza ya maridhiano, CCM wanajua ukweli hawako tayari kuachia nchi kirahisi hivyo.
Maana halisi ya "pambaneni" kama alivyozungumza Dr. Nchimbi anataka kweli tufanye movement ya kuiondoa CCM madarakani, baada ya hapo ndio tukae chini tuandike katiba mpya tuitakayo kwa kizazi chetu na kijacho.
Dr. Nchimbi alikuwa anamaanisha Katiba Mpya haitapatikana kwa wapinzani kususia chaguzi, kwani wameshafanya hivyo before na maisha yameendelea, kuipata Katiba Mpya ni sharti kwanza CCM iondoke madarakani.
Movement kama maandamano yasiyo na kikomo.Tunaiondoaje
Kwahiyo unataka watu waendelee kufaMovement kama maandamano yasiyo na kikomo.
Wale waliochoma vituo vya mwendokasi na mabasi na mahakama na TRA walishapata mshahara wao. RisasiWale wa 29 10 wanakumbukwa lini
OkWale waliochoma vituo vya mwendokasi na mabasi na mahakama na TRA walishapata mshahara wao. Risasi