Rais Samia na Hayati Magufuli si kitu kimoja; Tutampima kama atafikia viwango vya Dkt. Magufuli

Tumpime mara ngapi? Viatu vya JPM vinampwaya SANA! Bi Mkubwa ana ajenda yake tuuuu kutoka kwa mapromota & masponsa wake.
Vile sio viatu vya kuvaa binadamu, ni vya kutupa chooni kabisa tena haraka isije ikatokea bahati mbaya binadamu akavivaa. Alaa! kumbe hivyo viatu walivisahau kumsokomeza navyo alikoenda zake!
 
Hawezi kufika viwango vya meko
Na hakuna binadamu kamili anayeweza kuvifikia. Viwango vile ni Ibilisi tu anavifikia, maana kazi ya huyu shetani ni kuua na kuchinja. Hivyo ndivyo viwango vya meko na malaika zake wa giza. Kama hakutubu toka rohoni alipowaita wale mapadri basi chamoto anakiona huko aliko. Atakuwa anatamani kurudi alikotoka atengeneze lakini wapi!
 
Vile sio viatu vya kuvaa binadamu, ni vya kutupa chooni kabisa tena haraka isije ikatokea bahati mbaya binadamu akavivaa. Alaa! kumbe hivyo viatu walivisahau kumsokomeza navyo alikoenda zake!


Alisikika akisema mpiga-dili, mlarushwa, mwizi, jambazi, na mhujumu-uchumi mmoja hivi!!!
 
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaa! Waambie hao. Vile ni viwango vya Shetani tu siyo binadamu wa kawaida. Hivi yule jamaa alikuwa binadamu kweli au jini?
 
Utawala bora unaujua ww? Haki unaijua? Amani unaifahamu..ebu kakojoe ukalale wewe mwenye vyeti feki.
Wacha wajuzi wa mambo waongeee..
 
Hoja nzuri sana, bado huhazungumzia kiwanda cha kusafisha dhahabu pale Geita alichozindua juzi Biteko, lakini bado najiuliza bila mtu kama Magufuli nani angethubutu kujenga Bwawa la Umeme pale Rufiji? Nani angethubutu kujenga Meli kwenye maziwa yetu? Nani angethubutu kujenga daraja la Kigongo? Nani angethubu kuifufua ATCL?

Japo ndege zinalalamikiwa ila naamini zile ndege zokija kufa wanasiasa wataibuka tena kuilamu serikali kuwa ineshindwa kuendeleza shirika wakati rasimali na kila kitu waliachiwa na Magufuli.
 
Mkuu ,
Kuna mazuri ya JPM hata hivyo embu tuweeke yale upende mwingine ili tufanye ulinganifu
 
Ahaaaaaaaaaaaaaaaaa! Waambie hao. Vile ni viwango vya Shetani tu siyo binadamu wa kawaida. Hivi yule jamaa alikuwa binadamu kweli au jini?
Alikuwa ni mental case yule
 
Kaka Babati, kwani hukuwa huru? Mbona mimi sikuona huo ukosefu wa uhuru? Au ulibebwa na maisha ya twitter yanaonesha Tanzania ni nchi nyingine na huku Uraiani ni nchi nyingine?
Mhe Mbunge huoni watu walivyokuwa wanabambikwa kesi za hovyo mpaka Rais wetu akaagiza waachiwe na kesi ambazo hazieleweki zifutwe?
 
Mkuu huyu mbona kwasha mzidi sana!!! Utampima lini? So far so good!!!!
 
Samia sio dictotor
 
..Samia Suluhu ndio mgombea Uraisi wa CCM 2025.

..hakuna mwanadamu ndani ya CCM anayeweza kuzuia hilo.

..anayeweza kumzuia ni MUNGU peke yake.

..hiyo ndio faida ya kuwa Mwenyekiti wa CCM na Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
 
Tuombe Mungu mama asifikie viwango vya ufedhuli vya magufuli itakuwa balaa kwa nchi yetu.
 
Ni kweli sio kitu kimoja na haiwezekanni kuwa ni kitu kimoja tena unapoona sura tofauiti na ile uliyokuwa unaiona awali.

Fanya ulinganifu wa wanyama hawa

1. SNAIL
2. TORTOISE/TURTLE
3. CHAMELEON
4. ZODIAC Personality

Nakuachia 1-3 ila namba 4 nakuainishia kuthibitisha kufanya kwao kazi kulikuwa na mahusiano kama ifuatavyo
JPM
1. Birth date-29/10/1959
2. Zodiac name- Scorpio
3. Symbol of Zodiac star_ Mythology
4. Element of the Zodiac symbol- Water
5. The quality of the Zodiac star- Fixed
6. Ruling planet-Mars & Pluto
7.Lucky numbers-2,7,11,15,19,23,29,30,36 & 47
8.Quality of the Scorpio-Do does not trust almost everyone, passionate, hardworking, innovative (not afraid to think outside the box) determined, imaginative, loyal, observant, memorable, persistent thinker, mysterious, intelligent, ambitious, unpredictable, competitive, persevere to the end, motivated, intuitive, resourceful, investigative probing, honest, protectionist, logical, promise keeper, self-reliant, strategy-oriented, caring
9. Unique positive characteristic-ADVENTUROUS (Willing to take risks or to try out new methods, ideas, or experiences to achieve the determined goals effectively)
10. Unique negative characteristic-Vengeful, Secretive, Intolerant
11. When a leader's Zodiac horoscope falls to a ruling planet of Pluto it means the lifespan is calculable to an end (Pluto planet is no longer existing)
12. Compatibility: So that the Scorpio horoscope brand achieve the goals effectively needs to merge with the Zodiac horoscope of Cancer, Virgo, Capricorn & Pisces
SSH
1. Birthdate-27/1/1960
2. Zodiac name-Aquarius
3. Symbol of Zodiac star-Water-bearer
4. Element of the Zodiac star-Air
5. Ruling planet-Uranus (By then Saturn)
6. Quality of the Aquarius-Innovative, Independent, Faithful, visionary, Intelligent, Idealistic, humanitarian, innovative (not afraid to think outside the box) unemotional Systematic & Caring
7. Unique positive characteristic-CARING;
8. Unique negative characteristic- DETACHED, cold, Unemotional, unpredictable, orderly idealistic, condescending (a big source of peoples' frustrations who are trying to propose solutions or exchange ideas to collectively address issues causing conflict)
9. Lucky numbers 4, 8, 13, 17, 22, 26
10. Compatibility: So that the Aquarius horoscope brand achieve the goals effectively needs support from Libra, Gemini, Sagittarius, and Aries
NB: The Zodiac horoscope of Scorpio is always in cold conflict with LEO & AQUARIUS Zodiac horoscope therefore there are no collective determination and achievement ambitions.
For the two combinations in comparative amalgamation
a) Positive-Scorpio-Adventurous + Aquarius-Caring =The destination is unknown
b) Negative-Scorpio-Vengeful + Aquarius-Detached = Coldly no support to each other causing mistrust and unreliability to retain what is in hand.
c) The two do not share zodiac compatibility and common characteristics. However, the boat was safely sailing due to the strong nation's founding values.
Commendation to SSH & JPM for taking Tanzania to the right route and ready to adapt to changes to cope with the challenges that arise to the destination.
Based on Tanzanian cultural values, policy, customs, and trusteeship political party, the two assigned responsibilities accountable to the former and citizens.
Kwangu mimi ni kweli sio mtu mmoja kwa sababu za asili, utamaduni, mila, makuzi, maadili na aina ya taaluma
Ni maoni huru
Wenye akili kama ilivyo ada toeni mawazo kwa uwazi bila kumtweza mtu ila kwa kuzingatia uwezo wa kubaini sifa an tabia za mtu kutokana an vitendo, haiba, ushawishi na maadili ya kila mmoja
 
..Samia Suluhu ndio mgombea Uraisi wa CCM 2025.

..hakuna mwanadamu ndani ya CCM anayeweza kuzuia hilo.

..anayeweza kumzuia ni MUNGU peke yake.

..hiyo ndio faida ya kuwa Mwenyekiti wa CCM na Amiri Jeshi Mkuu wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Siku hizi wewe ni CCM au umejibandika uwakili huo kwa sababu maalum? Mbona umemtupa TAL the best outspoken lawyer?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…