Rais Samia na Hayati Magufuli si kitu kimoja; Tutampima kama atafikia viwango vya Dkt. Magufuli

Magufuli alikuwa mtu wa ajabu sana, Baba yule angetuuwa na Njaa.
Wakati anazuia Maziwa yasiingie kutoka Kenya na Uganda angefanya jitihada ya kukuza sekta hiyo. Badala yake huwezi kuingiza Ng'ombe Bora kirahisi, Vifaa vya usindikaji wa maziwa havipatikani na gharama yake ni kubwa sana. Sasa unajiuliza huyu alitaka mpaka Kiwanda chake Cha Karagwe kirudishe faida au Nini.
Kifupi hakuwa na plan yoyote kuhusu maziwa

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Sababu gani alizuia?!..Angalia upande wa pili chanya wa mtazamo wako kisha linganisha...kila badiliko lazima liwe na pain...embrace the change
 
Tumpime mara ngapi? Viatu vya JPM vinampwaya SANA! Bi Mkubwa ana ajenda yake tuuuu kutoka kwa mapromota & masponsa wake.
Ndo era ya hayati ndo imeisha tuko awamu ya sita sasa, kamwe usiishi kwa kumuangalia nan alifanya nn, ishi kwa kufuata kanuni na misingi uliyojiwekea au misingi iliyowekwa hapo ulipo. Umsiaminishe watu kua kiongoz bora ni hayati, kila kiongoz ana mazur yake na atakumbukwa kwayo.
 
Ishi kwa kufuata protocol, misingi iliyowekwa kufikia malengo na kwa kufuata ilani, hii biashara mnayopambana kum prove wrong Rais haitowasaidia kamwe. Tayari ni Rais na hakuna wa kuzuia, kikubwa kubalini kafarik na muendelee na kaz za kujenga Taifa. OVER!!
 
Ameshampita ndani ya miezi miwili tu.,, mama yuko next level.
Ila pole bro.
 
Amekula majani huyo asikusumbue.
 
Sababu gani alizuia?!..Angalia upande wa pili chanya wa mtazamo wako kisha linganisha...kila badiliko lazima liwe na pain...embrace the change
Ukizuia wanao wasiende kucheza kwa jirani unawanunulia toys, sasa unazuia maziwa yasije badala urahisishe upatikanaji wa Mbegu Bora za Ng'ombe, unamtuma Chalamila akafunge Ranchi.


Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna haja ya rais samia kufikia viwango vya magufuli hatutaki kabila samia afikie au akaribie dictator na dhulma alizokuwa anazisimamia huyo mwendazake tunashukuru mungu amemuondosha mapema kabla nchi kuingia katika machafuko.
 
..sasa hilo genge itabidi li-submit kwake maana ana rungu la amiri jeshi mkuu.
She is a part of the gang.

Tafuta picha ya Kikwete alipo wakaribisha wapinzani ikulu, utamuona na yeye Samia amekaa kwenye sofa.
 
Ukizuia wanao wasiende kucheza kwa jirani unawanunulia toys, sasa unazuia maziwa yasije badala urahisishe upatikanaji wa Mbegu Bora za Ng'ombe, unamtuma Chalamila akafunge Ranchi.


Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Toys?! Hii ni nchi ya wakulima na wafanyakazi ambao ni maskini...Nawafungia wapate akili yakuji entertain, ubongo tumepewa kwa ajili ya kutatua matatizo..
 
Ikitokea Mama Samia akamzidi ubora hayati na kila ushahidi ukaonyesha hivyo mwaka 2025 kuelekea uchaguzi mkuu, mleta mada utakuja kuweka hadharani kwa kuanzisha uzi mwingine utakaokiri ukweli huo?.
 
What did jpm achieve in his 6yrs? apart from disorgnising tz economy. JPM alikua economically novice with unrealistic economic goals, bora alikufa Mungu alitupenda sanaa kwa hilo.
Wajinga wajinga malofa kama nyinyi mpogo tu, na mtazaa mitoto sampuli hizo hizo. So, hatushangai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…