Ili kupunguza makali kwa wanzazibari Rais Samia kwa kushirikiana na Mwinyi jengeni bara ya lami kuunganisha Unguja na Bara.
Hii itasaidia maroli na vyakula kutoka bara kwenda kuingia kwa urahisi visiwani. Aidha ni ukweli usiopingika kwamba gharama ya vyakula ipo juu.
Na pia itapunguza kero za muungano kwani kutakuwa muingiliano wa watu kwa urahisi. Nakatibisha majadiliano ya jambo hili ni muhimu