Rais Samia na Spika Ndugai wanatafuta kiki tu!

Rais Samia na Spika Ndugai wanatafuta kiki tu!

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Ndio stage tuliyofikia WaTz, haya makelele ya Spika ndugai na Raisi Samia ni ya kutafuta kiki na kutaka kupindisha kule wananchi wanakotaka kwenda ,kwenye Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya.

Wameondoka kwenye makelele wametuacha kwenye Mawaziri wepya, wandugu hayo ni yao CCM ,
Nyimbo ya Taifa sasa imebadilika ni Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya muda ndio huu na masiku yanayoyoma, hizi kiki zisipewe nafasi,waachiwe wenyewe wala upinzani msiyazungumze na kuyapa kipau mbele ,fanyeni hamyasikii hamyafuatilii.

lenu ni mazungumzo na uhamasishaji wa wananchi kuungana pamoja kudai Tume huru ya Uchaguzi hio ndio wimbo unaotaka kusikika kila kona ,hata ng'ombe wakilia sauti ziwe ni madai ya Tume huru ya Uchaguzi.
Kuku,mbuzi majibwa yaani hata gari ikipigwa starta iwe inasema tume huru ya uchaguzi.
 
Back
Top Bottom