Rais Samia nakuhurumia kugombea Urais 2025

Hahahahahahaaa sikio la kufa halisiki dawa kalisema kazee Fulani HUKU kakibugia ugolo mdomoni
 
Mnamnyanyapaa kwa sababu ni mwanamke?

Naona mnamuandaa Mzenji kuja kuendeleza legacy.... ipo hivi, wanaomkwamisha ndiyo wanaoutaka urais
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
Limetimia agano
 
Kunawaka moto balaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…