Wimbo
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 866
- 625
Wasoma uzi huu najua wengine watadhani nimepata uchizi kwa sababu wazo la mtu asiye kitu halithaminiwi.
Mwanzo wa kupatikana kwake (Samia) na kufika nafasi alilipo mimi naiita ni miujia mitupu nathubutu kusema Mungu alimuandaa na akaitengeneza njia, amejitanabahisha katikanamna mbalimbali huku akihekimishwa na Mwenyezi Mungu katika kuchukuliana na kuweka mizania sawia kwa watu wote walionacho na wasionacho, bila kunyang'anya walinacho Kwani walikifanyia juhudi na maalifa kukipata wala bila kutweza wasionacho kwa sababu liziki anaitoa Muumba wa Mbingiu na ardhi na anatoa nafasi sawa za kuingia na kutoka kutii na kutekeleza maagizo yake yanayoambatana na baraka zake, anaye tii baraka zinaambatana naye.
Huyu ni Dada Samia Suluhu Hasani. vyeo vyote tuweke pembeni Urais, udaktari wa heshima, uwenyekiti wa chama mlezi wa vijana yoye ni yake, naomba na ninapendekeza kuazia sasa apewe heshima ya kuwa MAMA WA TAIFA nina hakika itachukuwa miongo mingi sana mpaka tuje pata Rais mwanamke mwingine tena.
Mwalimu Nyerere alikuwa na doctorate nyingi za heshima hakuona fahari ya kuitwa Dr ambayo siku hizi wengi wanaona ni deal sana. Nomba tutofautishe udakitari wa Msukuma na wa Samia tuondoe hiyo Dr. katika matumizi ya ainisho tumpe umama wa taifa.
Amefanya mengi ya mfano na anastahiki heshima hiyo.naomba kutoa hoja na kuungwa mkono.
ya mtu kujitoa pale alipo kwa nafasi yake na hamu yake ya kujikomboa.