Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Siku utakapo hitaji kitu ukaambiwa kinamilikiwa na wachavhe na wewe ukakosa na kuwa kama mgeni kwenye nchi yako ndo ukae kimya usirudi kugomba humu

Vigezo lazima vizingatiwe
Mna roho mbaya sana ndio maana hamwendelei
 
Mama kumbe anamsomaga kigogooo... leo ndo nimejua..
 
Mbona amesema na sheria zitabadilishwa au hukusikia?
 
Kama hatukuwahi kuinuka, basi tutakwenda chini zaidi.

Maana anayoyafanya leo, JK aliyafanya miaka 10 na nchi ikawa ya hovyo kabisa.
Kama kuwa hovyo ni kuwa na hela mfukoni, wacha iwe ya hovyo. Nendeni kaburini kwa baba yenu mkalie huko. Sisi tupo na mama mpaka 2035
 
Kama hatukuwahi kuinuka, basi tutakwenda chini zaidi.

Maana anayoyafanya leo, JK aliyafanya miaka 10 na nchi ikawa ya hovyo kabisa.
wasukuma mnataka tuishi kama masheitwani eh? mna roho za kichawi hamtaki watu wapate neema. hoyeda afka ka woos
 
Huu ubinafsishaji haukua na weledi, ndo mana viwanda vingine walijibinafsishia na kushindwa kuviendeleza ,na wengi walijibinafsishia walikuwa hawana mitaji ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. Kama hatukuwahi kuinuka, basi tutakwenda chini zaidi.

Maana anayoyafanya leo, JK aliyafanya miaka 10 na nchi ikawa ya hovyo kabisa.
Nyie watu mnaomuabudi jiwe nataka mnipe Takwimu JK ndani ya miaka mitao ya kwanza 2005 hadi 2010 alikuza uchumi kwa asilimia ngapi na alikopa kiasi gani, na Magufuli kwa miaka yake 5 ya kwanza alikuza kwa asilimia ngapia na alikopa kiasi gani
 
Mama wacha achape kazi, hao watoto wa marehemu wanaosumbuliwa na jinamizi LA baba yao asiwasikilize awapuuze ajue sisi wanae tuna matumaini makubwa sana na yeye. Hao lengo lao wanataka kumtoa kwenye reli ili asitufikishe nchi ya ahadi.
Aendelee tu kuwadharau na majibu yake atayapata 2025.kama mnajidanganya kwamba kilichotokea kwenye msiba wa JPM kilikuwa ni maigizo mkawapuuza Watanzania masikini mkawa bize na hao 'wawekezaji'majibu mtayapata next election
kama ccm leo wameamua kwa makusudi mazima ya kumpuuza mtu aliyewanusuru 2015 na kujiona sasa ni muda wa kuirudisha nchi kule kulipowafanya wakachukiwa then waendelee tu majibu watayapata. Yaani hata akili ya kujiongeza wameishiwa kabisa, Léo rais anayetokana na ccm wanaopiga matarumbeta ya kushangilia ni wapinzani wenu kisiasa..... yaani ghafla tu wapinzani wameipenda ccm na nyie kama mazoba mmeunga tela kushangilia !!!
 
Mama kwa miezi miwili hii amefanya mambo mengi yaliyomshinda JPM kwa miaka mitano.
Hauna akili wewe, mama kafanya jambo gani la maana mpaka sasa ebu tuambie, acheni ushabiki vitumbua ata kama milikuwa mnamchukia mwendazake lakini hisiwe kwa kiwango hicho.
 
Unazani hao CCM wana akili wamesahau mwaka 2015 ccm ilikuwa imekufa lakini huyo mwendazake ndio aliyeinua li chama lao lakini wamemsahau, ngoja tusubiri muda utasema.
 
Kama kuwa hovyo ni kuwa na hela mfukoni, wacha iwe ya hovyo. Nendeni kaburini kwa baba yenu mkalie huko. Sisi tupo na mama mpaka 2035
kumbe tatizo lako ni hela tu.

lini mama ataanza kutoa hela[emoji16][emoji16]
 
kumbe tatizo lako ni hela tu.

lini mama ataanza kutoa hela[emoji16][emoji16]
Akifungua fursa, kila mtu atapata hela. We unataka nini? Ok.. utakuwa unapenda vitu kama Magu, Basi ngoja tukupe uwanja wa chato
 
Hauna akili wewe, mama kafanya jambo gani la maana mpaka sasa ebu tuambie, acheni ushabiki vitumbua ata kama milikuwa mnamchukia mwendazake lakini hisiwe kwa kiwango hicho.
tunamchukia kama alivyokuwa anatuchukia watanzania kwa kutuletea magaidi wasiojulikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…