Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

Rais Samia: Nakwenda kufungua Nchi, mmekuwa mkinitukana sana mitandaoni

... the people's happiness ni indicator mojawapo ya kiongozi bora! Mataga kwao ni visasi tu utafikiri ni jungle life!
Hakuna kitu wanachochukia kama kuona watu wakiwa na furaha, hii furaha inayoanza kujidhihirisha kwa umma wa Watanzania kunawakasirisha mno.
 
Basi sawa, fungulia kila k2 then tupate mafuriko ya wawekezaji hapa TZ
Cheap politics. Tuliwahi kuwa na sera inaitwa "ruksa," lakini nchi haikwenda popote, tukaishia kuwa hatuna hata ndege moja, na ndiyo mara ya mwisho kwa reli yetu kufanya kazi ingawa supply Tanzanite kwenye soko la dunia ilipanda sana. Sera ya nakwenda kufungulia nchi ni sera inayoonekana kuwa ya revisionist kuliko ya visionary.
 
Points tupu hongera kwa kuliona hilo. Ikifaa anzisha mada ya kipekee kabisa uunganishe na hilo bandiko
 
Kama hatukuwahi kuinuka, basi tutakwenda chini zaidi.

Maana anayoyafanya leo, JK aliyafanya miaka 10 na nchi ikawa ya hovyo kabisa.
Chawa wa Jiwe wanahangaika kutaka kumpamba mwendazake ili aonekane ndio alikuwa mzuri/ bora zaidi bila mafanikio masikini chawa wa Jiwe mnateseka kweli .
 
Maza nilimsikia akijiandaa kugawa raslimli za ardhini. Maza anaelekea kufungua nchi kwa pupa. Ila pia maza anaonekana ni jamii ya kugawa fukwe zetu mchina aje atuchalaze. Maza hawezi kumshinda nyerere na wafuasi wake waliolinda raslimali za nchi kwa wivu mkubwa sana. Ajue tunamchora kila hatua. Na mwisho tutaelewana
 
Tunaenda kuwa watumwa wa wawekezaji maana tutashindwa kufungua biashara zetu vijana wengi watakimbilia kwenye ajira
Maana kwa JPm .akili zilishaanza kukomaa kuanza kujiajiri ...mawazo ya vijana wengi walikuwa wanafikiria kujiajiri tu yaani nawambia baada ua miaka 10 tungepata wafanyabiashara wengi tena hao wangeajiri wezao
Unazungumza kinyume , utawala wa Jpm hakuna aliyetamani kujiajiri maana wafanyabiashara walibanwa , mama anaposema anakwenda kufungua nchi anazungumzia sekta binafsi zaidi maana ndio iliyokuwa inawenda kufa
 
Roho mbaya itakuua. Utakufa maskini
Siku utakapo hitaji kitu ukaambiwa kinamilikiwa na wachavhe na wewe ukakosa na kuwa kama mgeni kwenye nchi yako ndo ukae kimya usirudi kugomba humu

Vigezo lazima vizingatiwe
 
Back
Top Bottom