Nchi imefunguka kisawa sawa, dunia yote macho kwa Tanzania, Tanzania hii sasa, kwa kuwa ina heshima yake, basi tuifungue na tuidumishe heshima yake sambamba.
Ujio wa wageni mbalimbali kwenye kesi ya Lissu, ni moja ya mapokeo au matunda ya ufunguzi wa taifa letu kwani nathubutu kusema limefunguka haswa.
World at now, monitoring Tanzania at close eyes ever, ni wakati sasa na sisi tukaenda kimataifa zaidi, pia zipo dalili za Tanzania kutaka kuwa kitovu to kisiasa na kiuchumi , kwa afrika nzima,hivyo umakini ni muhimu sana katika kutunza tunu inayotaka kutuangukia, si vyema tukaipoteza, turekebishe taratibu zetu za wageni wajao, na vigezo maalumu kwa shughuli walizojia, let say!
Mfano, umekuja kushuhudia kesi ya lissu, kamera haitawi, wala kufanya press hakutakiwa!, aidha kusababisha pia jumuiko ni mwiko!
Viko viutaratibu vidogo vidogo vinavyotakiwa kuwa applied, kutegemeana na Ujio wa aina ya mgeni, mfano, mtalii, yeye kamera ruksa.
And alike!
Alhamduh lilah tupo salama!
#Wete, Pemba!