Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Safi kabisa, Mama la Mamama ametuliaaaa.....anapiga kazi kwa Raha zake!Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo Jumamosi Mei 17, 2025 katika ofisi ya serikali ya kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.
Liangalie linyumbu bwege hili......jaribuni kuzuia tuoneMmh!
Hakuna uchaguzi mwaka huu aache kujiangaisha..
Utafikri kuna cha maana kakifanya!Ndugu zangu Watanzania,
Huyu hapa Mama yetu kipenzi ndani ya SGR kutokea Dar kwenda Dodoma Kuboresha Taarifa zake Kwenye Daftari la Mpiga kura.
View attachment 3337011View attachment 3337012
Wewe ndio usishiriki uchaguzi, usitusemeeMmh!
Hakuna uchaguzi mwaka huu aache kujiangaisha..