PreGE2025 Rais Samia ndani ya SGR Dar-Dodoma, kuboresha taarifa zake za Mpiga Kura

PreGE2025 Rais Samia ndani ya SGR Dar-Dodoma, kuboresha taarifa zake za Mpiga Kura

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
MAGUFULI BHANA...DAH HAYA BHANA!

KAMA MLISHINDWA KUWAZUIA POLISI KUMKAMATA YULE LGBTQ KATIKATI YA NYOMI, JE MTAMZUIA NANI KUPIGA KURA...SIJAJUA NAMPIGIA NANI, LAKINI K YOYOTE INIZUIE KUPGA KURA, YAANI KABLA YA WAZUIA VURUGU HAWAJAFIKA, NITAKUWA NIMEZUIA VURUGU KIWANGO CHA KUMFIKISHA MVURUGAJI KATIKA NYUMBA YA MILELE.. HUWA SITAKI USENGE KATIKA HAKI ZANGU ZA MSINGI.
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo Jumamosi Mei 17, 2025 katika ofisi ya serikali ya kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.

Mimi nimependa hiyo view unafanya bonge la utalii hapo..
 
Back
Top Bottom