KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
kazi na utu kwa vitendo, tusonge mbele pamojaNdugu zangu Watanzania,
Huyu hapa Mama yetu kipenzi ndani ya SGR kutokea Dar kwenda Dodoma Kuboresha Taarifa zake Kwenye Daftari la Mpiga kura.
View attachment 3337011View attachment 3337012
Una utani na mama weye
Wacha usenge lini na wapi Chadema walitoa tamko la kupinga ujenzi wa SGR?Chadema walipinga ujenzi wa SGR
Mimi nimependa hiyo view unafanya bonge la utalii hapo..Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisafiri kwa treni ya kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma ambapo pamoja na majukumu mengine pia atashiriki shughuli ya uboreshaji wa taarifa zake katika Daftari la Kudumu la Mpiga Kura leo Jumamosi Mei 17, 2025 katika ofisi ya serikali ya kijiji, Chamwino mkoani Dodoma.
Huyo bwege akisikia jina la Samia tu kigololi kinamshuka.Mleta mada, unajua watu tuna kazi za kufanya!!