Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Katika vitabu vitakatifu Abraham au Ibrahim alipewa ahadi na mungu ya kumbariki uzao mkubwa kama mchanga wa baharini kwa sharti Moja tu .akubali kuondoka katika nchi ya baba zake ukaldayo aende kuishi kwenye nchi mpya kabisa ya kanaani.
Pamoja na ahadi nyingine kedekede kama atakuwa tajiri wa fedha na dhahabu na mungu alimuahidi pia kulikuza jina lake. Mpaka wanaondoka ukaldayo kwenda kanaani Sara mkewe Abraham hakuwa tasa. Maana mungu asingeahidi watoto na hali akijua Sara hawezi kuzaa!!
Kisanga ni pale Abraham alivyoingia kanaani akataka vitu vyote viwepo kwa siku Moja!? Alivyoona Kuna tatizo la maji TU aliamua kumkaidi mungu na kuhamia nchi nyingine iitwayo belsheba.
Hapo ndipo Mungu aliamua kufutilia mbali ahadi ya watoto na utajiri abraham alikaa miaka tisini bila mtoto mpaka Mungu mwenyewe alipoamua kumruzuku kwa bahati mtoto Mmoja TU.
Niseme hivi rais tuliyekuwa tunamtaka kwa muda wote ndo huyu Sasa. Samia Suluhu HassaniHaijaliShi Mimi sio CCM lakini nauona mwanga kupitia huyu mama. Tuache siasa za maji taka tumsaidie huyu mama kutupeleka nchi ya ahadi na kweli.