Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Chawa pls *** offNdugu zangu Watanzania,
Ukisikia Kiongozi Mwenye kufanya maamuzi Magumu na makini basi hakuna wa kumfikia Rais Samia katika Bara la Afrika. Ni kiongozi jasiri na mwenye uthubutu Mkubwa sana linapokuja suala la kufanya maamuzi kwa maslahi ya Taifa na ustawi wa watanzania.
Ma CHADEMA kwa sasa yameishiwa hoja na kubakia yakitukana matusi tu kama malevi ya Gongohayumbishwi wala kutetereshwa na mabwenyenye ya magharibi wala vibaraka wao waliomo nchini.
well done Dr.SAMIA SULUHU HASSAN, kwa kusimama imara kwenye nafasi yako ya urais wa Tanzania.
AFRIKA INAJIVUNIA USHUPAVU NA UMAHIRI WAKO KATIKA KUCHAPA KAZI ZA MAENDELEO.
Mimi siyo Chawa dogo.Chawa pls *** off
Mbona wewe hujauwawa? Embu ondoa ujinga wako hapa ewe uliyejaa ukabila,ukanda na chuki binafsiUko sahihi!.
Kuua maelfu ya watu namna ile ili kulinda kiti chako inahitaji ujasiri wa hali ya juu sana
Wewe ni takataka!Mbona wewe hujauwawa? Embu ondoa ujinga wako hapa ewe uliyejaa ukabila,ukanda na chuki binafsi
Wewe ukabila ndio umekujaa kichwani mwako na kukufanya kuwa kipofu wa akili na macho.Wewe ni takataka!
Kuua watu kwa maelfu ili kutetea cheo inahitaji ujasiri wa hali ya juu.
Chura kiziwi ni jasiri
Huyo mamako ni kilazaa hakustahili kuwa hata mkuu wa wilaya!Wewe ukabila ndio umekujaa kichwani mwako na kukufanya kuwa kipofu wa akili na macho.
Pumbavu kabisa wewe chawaNdugu zangu Watanzania,
Ukisikia Kiongozi Mwenye kufanya maamuzi Magumu na makini basi hakuna wa kumfikia Rais Samia katika Bara la Afrika. Ni kiongozi jasiri na mwenye uthubutu Mkubwa sana linapokuja suala la kufanya maamuzi kwa maslahi ya Taifa na ustawi wa watanzania.
Ni kiongozi ambaye hatishwi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kupelekwa pelekwa kama gari bovu. Ni kiongozi ambaye Amenyooka kama rula mwenye misimamo ya kiuongozi na kizalendo linapokuja suala la kufanya uamuzi .
Yeye anachoangalia ni umuhimu na faida wa maamuzi yake kwa Taifa na ustawi wa Taifa letu. Ndio Maana kama Taifa tumevushwa kwa mikono yake katika Nyakati ngumu ambazo pengine wengine walikuwa wakisubiri anguko letu na kusambaratika kama Taifa.
Misimamo ya Rais Samia ndio imeendelea kutuheshimisha Kama Taifa . Ndio imefanya na kuona sasa Taifa likiendelea kupokea wageni kila Uchao kutoka Mataifa mbalimbali. Ndio sababu ya kuona kila kitu kikienda vyema bila kusuasua wala kukwama kwama.
Ndio maana mnaona wale maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu waliokuwa wakipiga makelele na kujaribu kumchafua RAIS wetu na Taifa letu kwa sasa wamepoteana kupoteza Muelekeo, kusambaratika na kuishiwa pumzi ya kuendelea mbele.
Maana wamekuta Rais wetu hayumbi wala kuyumbishwa wala kutetereshwa wala kutishwa ama kutishika . Wamekuta yupo imara na amesimama imara bila kuyumba wala kuogopa ama kumpigia mtu magoti .
Kwa Hakika kama Taifa tuna kila sababu ya kujivunia Rais wetu na kuendelea kumuunga mkono kila Uchao. Ni Zawadi tuliyopewa na Mungu tunayopaswa kujivunia. Tuendelee kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania.
Kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3584913
Maccm yote ni mataahiraMa CHADEMA kwa sasa yameishiwa hoja na kubakia yakitukana matusi tu kama malevi ya Gongo
Ndugu zangu Watanzania,

Wewe na familia yako ndoa vilaza.Huyo mamako ni kilazaa hakustahili kuwa hata mkuu wa wilaya!
Huna akiliMaccm yote ni mataahira
Umesamehewa bure kabisa makosa yako yotePumbavu kabisa wewe chawa