Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni Nuru, Faraja na Tumaini la ndoto za Watanzania wengi.
Ni kichocheo cha mshikamano na maelewano ya waTanzania bila kujali mirengo ya kisiasa, kanda atokayo, rangi, dini au kabila.
Ni kielelezo cha thamani cha Taifa, nembo, alama na nguzo ya amani na umoja wa kitaifa katika sura ya kimataifa Duniani.
Watanzania tuna Imani nawe, tunakupenda mno Mama, unakubalika sana katika kila kona ya nchi.
Mungu akupe afya njema, na maisha marefu, kama Taifa tuendelee kufurahia matunda ya mipango ya uongozi wako katika Serikali hii sikivu ya CCM, nchi na wananchi wote waendelee kustawi kijamii, kisiasa na kiuchumi.
God bless you Dr. Samia Suluhu Hassan.