Rais Samia ni lulu ya amani, upendo na umoja wa kitaifa

Ni Nuru, Faraja na Tumaini la ndoto za Watanzania wengi.

Ni kichocheo cha mshikamano na maelewano ya waTanzania bila kujali mirengo ya kisiasa, kanda atokayo, rangi, dini au kabila.

Ni kielelezo cha thamani cha Taifa, nembo, alama na nguzo ya amani na umoja wa kitaifa katika sura ya kimataifa Duniani.

Watanzania tuna Imani nawe, tunakupenda mno Mama, unakubalika sana katika kila kona ya nchi.

Mungu akupe afya njema, na maisha marefu, kama Taifa tuendelee kufurahia matunda ya mipango ya uongozi wako katika Serikali hii sikivu ya CCM, nchi na wananchi wote waendelee kustawi kijamii, kisiasa na kiuchumi.

God bless you Dr. Samia Suluhu Hassan.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kupata VICHEKESHO kama Uzi huu ,bonyeza *130*998# 😅😅😅
 
unailazimisha Furaha ingawa moyoni una majonzi kukutana na ukweli bayana mwingine 🐒
 
Ni Nuru, Faraja na Tumaini la ndoto za Watanzania wengi.

Ni kichocheo cha mshikamano na maelewano ya waTanzania bila kujali mirengo ya kisiasa, kanda atokayo, rangi, dini au kabila.

Ni kielelezo cha thamani cha Taifa, nembo, alama na nguzo ya amani na umoja wa kitaifa katika sura ya kimataifa Duniani.

Watanzania tuna Imani nawe, tunakupenda mno Mama, unakubalika sana katika kila kona ya nchi.

Mungu akupe afya njema, na maisha marefu, kama Taifa tuendelee kufurahia matunda ya mipango ya uongozi wako katika Serikali hii sikivu ya CCM, nchi na wananchi wote waendelee kustawi kijamii, kisiasa na kiuchumi.

God bless you Dr. Samia Suluhu Hassan.
CHAWA KAZINI
 
Hakuna furaha tafsiri ya hiyo emoji ni dharau nadharau UHARO ambao umekuwa ukipost mara kwa mara
utakua una maumivu moyoni makali sana, maana kuacha hoja muhimu ya ukweli kama hii na kulalamikia emoji ni kielelezo cha ukali wa namna ambayo ukweli huumiza moyo wako kwa uchungu hivyo, dah , pole gentleman 🐒

wengine uongo hatufahamu sasa 🐒
 
Ni Nuru, Faraja na Tumaini la ndoto za Watanzania wengi.

Ni kichocheo cha mshikamano na maelewano ya waTanzania bila kujali mirengo ya kisiasa, kanda atokayo, rangi, dini au kabila.

Ni kielelezo cha thamani cha Taifa, nembo, alama na nguzo ya amani na umoja wa kitaifa katika sura ya kimataifa Duniani.

Watanzania tuna Imani nawe, tunakupenda mno Mama, unakubalika sana katika kila kona ya nchi.

Mungu akupe afya njema, na maisha marefu, kama Taifa tuendelee kufurahia matunda ya mipango ya uongozi wako katika Serikali hii sikivu ya CCM, nchi na wananchi wote waendelee kustawi kijamii, kisiasa na kiuchumi.

God bless you Dr. Samia Suluhu Hassan.
Sifa za kijinga
 
Back
Top Bottom