Rais Samia ni nyota inayong'aa

Mtoa mada, mwambieni huyo MAMA kwamba yeye anajisikiaje kuwabambikizia kesi watu wasio na hatia? Yaani anawezaje kuishi huku akifahamu fika kuna watu hawana HATIA na wapo magerezani?
 
Ndo uchawa huu au huu ni ukiroboto?
 
Hivi anajisikiaje, anaishije,analalaje huku kuna watu wako magerezani kwa makosa ya kutunga?
Anajiskia fresh tu, kwani yeye ndo aliyewatungia hayo makosa. Pia kuongoza nchi si shughuli rahisi kama mnavodhani. Inahitaji mtu mwenye Rohoo ngumu "i mean tough person"
 
Nyota iking'aa gizani kila jicho huona mbele, nyuma, kulia, kushoto, juu na chini lakini mbona watu hawauoni huo MWANGA?
 
Watu wanalia na TOZO wewe unasema nini hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…