MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na uwoga wa ajabu, yaani yanayojadiliwa yangekua yanaandikwa na wazee wale wa kitambo enzi za ujamaa ningeelewa, ila hawa ni vijana wa kisasa waliosomea UDOM na UDSM elimu ya kisasa ambao nlitegemea watakua wameboreshwa kimtazamo kwenye masuala ya dunia ya leo hii ya utandawazi.
Mama amesema Watanzania watakuja kuwekeza kwa nguvu hapa Kenya....hehehe yaani hawa hawa Watanzania hawa au wengine wataletwa..... hebu soma nyuzi kama hizi.
www.jamiiforums.com
Mama amesema Watanzania watakuja kuwekeza kwa nguvu hapa Kenya....hehehe yaani hawa hawa Watanzania hawa au wengine wataletwa..... hebu soma nyuzi kama hizi.
Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika...