Hapo pa kuunga viwanda vyetu kwenye gesi yao pamenipa raha sana, mama amefungua biashara, ameaumua aidha Watanzania waendelee na uwoga uwoga wao au waone majirani wakinufaika na raslimali zao.
Low key tho bro! I got this sneaky feeling that right now we're getting the carrot and I'm just waiting for her to pull out the stick...after all she said she and magufuli are the same thing.
Halafu Kiswahili cha huyu mama kimenyooka hadi raha, lafudhi ya Kizanzibari, kama ya ndugu zetu wa Mombasani, yaani ametukosha sana Wakenya, amesababisha niendelee kukipenda Kiswahili zaidi na zaidi.
Siyo uzalendo tu bro. Ukabila, wenyewe hata mambo ya kipuuzi ni ukabila tu. Mjaluo akiingia bar ya wakikuyu, wale wahudumu wakigundua ni jaluo, wanaanza kum'beza au hata kuto muhudumia ipasavyo. Au hata mkikuyu akipita karibu na bar ya wajaluo, utakuta hiyo bar ya jaluo hiyo, twende zetu huku.
Hata kuoa hivyo hivyo, yaani kijana akimzikia binti mpaka mwisho, unaishia kutamani tu. Maana siku ukimleta kwenu, utakoma wazazi wako watakavyokuzodoa. Umetulea nini hapa, utafikiri wenyewe ndiyo wanaishi naye, wakati wewe ndiyo unaenda kukaa naye.
Muone huyu, Kenya huwa unaionea tu kwenye Tv wewe. Eti bar ya mkikuyu haingii mjualuo na ya mjaluo haingii mkikuyu. Hahaa! [emoji1] Unatujua sisi manyang'au na pesa kweli? Kwanza mkikuyu hata uwe kiumbe kutoka sayari nyingine. Mwenye mikono miine, miguu minane hadi na antenna kichwani bado atakuuzia tu, bora uwe tu na hiyo 'ciringi', yaani 'mbeca fari fari'.
Tembea Kenya ujionee mwenyewe, wakenya tunaishi freshi tu kwa pamoja bila matatizo. Ukabila ni wanasiasa wetu wapumbavu tu ndio huwa wanachochea, kwa manufaa yao kisiasa.
Hao Kiswahili ni asili yao, ni lugha yao kabisa sio kama watu wa mikoani ambao lugha zetu za asili zipo tofauti, inawezekana ukawafunza Kiswahili ila kile cha uandishi.
Low key tho bro! I got this sneaky feeling that right now we're getting the carrot and I'm just waiting for her to pull out the stick...after all she said she and magufuli are the same thing.
Muone huyu, Kenya huwa unaionea tu kwenye Tv wewe. Eti bar ya mkikuyu haingii mjualuo na ya mjaluo haingii mkikuyu. Hahaa! [emoji1] Unatujua sisi manyang'au na pesa kweli? Kwanza mkikuyu hata uwe kiumbe kutoka sayari nyingine. Mwenye mikono miine, miguu minane hadi na antenna kichwani bado atakuuzia tu, bora uwe tu na hiyo 'ciringi', yaani 'mbeca fari fari'.
Tembea Kenya ujionee mwenyewe, wakenya tunaishi freshi tu kwa pamoja bila matatizo. Ukabila ni wanasiasa wetu wapumbavu tu ndio huwa wanachochea, kwa manufaa yao kisiasa.
Hamna bana, kwenu huko kama wewe ni jaluo huwezi kuoa kikuyu. Wee mwenyewe si yule binti ulivyomleta kwenu na kusema ni mkikuyu, si wakakuchenjia!!?
🤣🤣🤣
Ila mimi nisingekubali.
Hamna bana, kwenu huko kama wewe ni jaluo huwezi kuoa kikuyu. Wee mwenyewe si yule binti ulivyomleta kwenu na kusema ni mkikuyu, si wakakuchenjia!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mimi nisingekubali.
Demu yupi? Mbona nilishamuoga kitambo sana? Usirudie tena kuita mke wa mtu demu. Sasa hivi anayo mimba kubwaaa, ambayo kwa viashiria vyote italipuka hivi karibuni. [emoji1] Babu yangu mwenyewe hakuoa meanamke kutoka kwa kabila lake. Nimekuambia zuru Kenya ujionee mwenyewe, acha kupumbazwa na hao wanaokusimulia hadithi feki kama za Abunuwasi.

Toka ule muungano wa east africa wa kwanza ulipovunjika,hamna jirani anayewaamini wakenya,uhuru alimjazia lundo la mambo ma yetu,ajira bila permit work,utalii,aviation,bomba la gesi,kama ni muelewa kwenye hotuba zake zote mama amekomaa kwenye ushirikiano wa biashara tu,angethubutu pale na yeye kusema wakenya na wao waje tu TZ kufanya kazi bila permit work kesho huko mipakani kusingetosha
Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na uwoga wa ajabu, yaani yanayojadiliwa yangekua yanaandikwa na wazee wale wa kitambo enzi za ujamaa ningeelewa, ila hawa ni vijana wa kisasa waliosomea UDOM na UDSM elimu ya kisasa ambao nlitegemea watakua wameboreshwa kimtazamo kwenye masuala ya dunia ya leo hii ya utandawazi.
Mama amesema Watanzania watakuja kuwekeza kwa nguvu hapa Kenya....hehehe yaani hawa hawa Watanzania hawa au wengine wataletwa..... hebu soma nyuzi kama hizi.
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika...
You can send and receive parcels direct from Bungoma, Malaba, Eldoret, Mumias, Kakamega, Nairobi, Kisumu, Nakuru, Kisii, Kitui to Kilifi and Malindi every day.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.