Low key tho bro! I got this sneaky feeling that right now we're getting the carrot and I'm just waiting for her to pull out the stick...after all she said she and magufuli are the same thing.Hapo pa kuunga viwanda vyetu kwenye gesi yao pamenipa raha sana, mama amefungua biashara, ameaumua aidha Watanzania waendelee na uwoga uwoga wao au waone majirani wakinufaika na raslimali zao.
Halafu Kiswahili cha huyu mama kimenyooka hadi raha, lafudhi ya Kizanzibari, kama ya ndugu zetu wa Mombasani, yaani ametukosha sana Wakenya, amesababisha niendelee kukipenda Kiswahili zaidi na zaidi.
Muone huyu, Kenya huwa unaionea tu kwenye Tv wewe. Eti bar ya mkikuyu haingii mjualuo na ya mjaluo haingii mkikuyu. Hahaa! [emoji1] Unatujua sisi manyang'au na pesa kweli? Kwanza mkikuyu hata uwe kiumbe kutoka sayari nyingine. Mwenye mikono miine, miguu minane hadi na antenna kichwani bado atakuuzia tu, bora uwe tu na hiyo 'ciringi', yaani 'mbeca fari fari'.Siyo uzalendo tu bro. Ukabila, wenyewe hata mambo ya kipuuzi ni ukabila tu. Mjaluo akiingia bar ya wakikuyu, wale wahudumu wakigundua ni jaluo, wanaanza kum'beza au hata kuto muhudumia ipasavyo. Au hata mkikuyu akipita karibu na bar ya wajaluo, utakuta hiyo bar ya jaluo hiyo, twende zetu huku.
Hata kuoa hivyo hivyo, yaani kijana akimzikia binti mpaka mwisho, unaishia kutamani tu. Maana siku ukimleta kwenu, utakoma wazazi wako watakavyokuzodoa. Umetulea nini hapa, utafikiri wenyewe ndiyo wanaishi naye, wakati wewe ndiyo unaenda kukaa naye.
Wamombasa kile kiswahili cha yuwaja,yuwaondoka!kile nacho kiswahili,nikiwaga huko umombasani uwa wanajifunza kiswahili kupitia kwangu
Low key tho bro! I got this sneaky feeling that right now we're getting the carrot and I'm just waiting for her to pull out the stick...after all she said she and magufuli are the same thing.
She's smarter than she let's on
Muone huyu, Kenya huwa unaionea tu kwenye Tv wewe. Eti bar ya mkikuyu haingii mjualuo na ya mjaluo haingii mkikuyu. Hahaa! [emoji1] Unatujua sisi manyang'au na pesa kweli? Kwanza mkikuyu hata uwe kiumbe kutoka sayari nyingine. Mwenye mikono miine, miguu minane hadi na antenna kichwani bado atakuuzia tu, bora uwe tu na hiyo 'ciringi', yaani 'mbeca fari fari'.
Tembea Kenya ujionee mwenyewe, wakenya tunaishi freshi tu kwa pamoja bila matatizo. Ukabila ni wanasiasa wetu wapumbavu tu ndio huwa wanachochea, kwa manufaa yao kisiasa.
Demu yupi? Mbona nilishamuoga kitambo sana? Usirudie tena kuita mke wa mtu demu. Sasa hivi anayo mimba kubwaaa, ambayo kwa viashiria vyote italipuka hivi karibuni. [emoji1] Babu yangu mwenyewe hakuoa meanamke kutoka kwa kabila lake. Nimekuambia zuru Kenya ujionee mwenyewe, acha kupumbazwa na hao wanaokusimulia hadithi feki kama za Abunuwasi.Hamna bana, kwenu huko kama wewe ni jaluo huwezi kuoa kikuyu. Wee mwenyewe si yule binti ulivyomleta kwenu na kusema ni mkikuyu, si wakakuchenjia!!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila mimi nisingekubali.
Demu yupi? Mbona nilishamuoga kitambo sana? Usirudie tena kuita mke wa mtu demu. Sasa hivi anayo mimba kubwaaa, ambayo kwa viashiria vyote italipuka hivi karibuni. [emoji1] Babu yangu mwenyewe hakuoa meanamke kutoka kwa kabila lake. Nimekuambia zuru Kenya ujionee mwenyewe, acha kupumbazwa na hao wanaokusimulia hadithi feki kama za Abunuwasi.
πππ Say less famBro... Remember we are Kenyans, we will eat the carrot and the stick and the hand extending it out.
Hahahaha, nimecheka sanaa..Ziara imeisha. Sasa tunaendelea tulipoishia kabla ya ziara.
Alikuja kuwatembelea, that's allKwa hivyo mama ni Vasco Da Gama wa ziara zisizokua na tija?
Tz ni Kama pepo kwa wakenya, na Venye wana Njaa [emoji3][emoji3]Toka ule muungano wa east africa wa kwanza ulipovunjika,hamna jirani anayewaamini wakenya,uhuru alimjazia lundo la mambo ma yetu,ajira bila permit work,utalii,aviation,bomba la gesi,kama ni muelewa kwenye hotuba zake zote mama amekomaa kwenye ushirikiano wa biashara tu,angethubutu pale na yeye kusema wakenya na wao waje tu TZ kufanya kazi bila permit work kesho huko mipakani kusingetosha
Mimi ni mfanyabiashara na ni muwekezaji, nimeajiri vijana, siwezi kosa ajira. Pole.Kwa hatua za huyu mama, ni wazi mataga mtakosa ajira kabisa, itabidi muanze kufanya kazi kama wenzenu..... hebu msklize hapa
Mimi ni mfanyabiashara na ni muwekezaji, nimeajiri vijana, siwezi kosa ajira. Pole.
Nimekua napitia nyuzi za Watanzania tangu ujio wa Mama Samia jana hapa nchini Kenya, hamna hata uzi mmoja unaojadili au kudadavua huu ujio kitaalam, kwa minajili ya kuelewa dhamira ya mama kwenye jitihada zake za kuifanya Tanzania iamke tena. Kila Mtanzania analalamika tu, watu wameingiwa na uwoga wa ajabu, yaani yanayojadiliwa yangekua yanaandikwa na wazee wale wa kitambo enzi za ujamaa ningeelewa, ila hawa ni vijana wa kisasa waliosomea UDOM na UDSM elimu ya kisasa ambao nlitegemea watakua wameboreshwa kimtazamo kwenye masuala ya dunia ya leo hii ya utandawazi.
Mama amesema Watanzania watakuja kuwekeza kwa nguvu hapa Kenya....hehehe yaani hawa hawa Watanzania hawa au wengine wataletwa..... hebu soma nyuzi kama hizi.
Kenya yapata upenyo: Tanzania yajisalimisha tena mikononi mwa Kenya
TANZANIA YAJISALIMISHA TENA MIKONONI MWA KENYA Kwa miaka takribani mitano Tanzania imekuwa "mwana mpotevu" baada ya Hayati Rais Magufuli kustukia "faulo" za kibiashara yaani biashara zisizokuwa na mizania sawa baina ya majirani hawa wawili. Ikumbukwe kuwa Kenya ndilo taifa la kiafrika...www.jamiiforums.com
Macho kumchuzi ...ukizingua nakuzingua. .....Hehehe hakuna mwanabiashara muwekezaji anayeweza kuandika utopolo unaoandika humu, muwekezaji huwa na mindset tofauti.
Anyway wacha tumsklizie mama, tayari amejiandaa kuunga gesi kwenye viwanda vyetu, patamu sana hapo.