Rais Samia, nilikutahadharisha mapema

Rais Samia, nilikutahadharisha mapema

My Son drink water

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
4,932
Reaction score
13,306
Nilikuandikia uzi humu kukutahadharisha jinsi walivyojiandaa kukuhujumu Urais wako.

Sisi tunakujua fika jinsi ulivyo, wewe ni mama usiye na makuu,una huruma, una utu ,ndo maana kuna kipindi ulianza kutofautiana na JPM enzi za uhai wake kwa sababu ya utu wako.

Uliapa kufanya maridhiano na wapinzani ili kutengeneza hatima nzuri ya Tanzania, kilichotokea ni sukuma gang kuibuka ghafla na kukushauri kwamba usicheke na Chadema utavuna mabua, walikushauri uhakikishe wapinzani hasa CHADEMA wanatoweka kabisa kwenye ulingo wa siasa.

Huyo kijana aliyeoa Binti yako, Mkwilima wako huyo aliyeko Bungeni ni hatari sana kwenye uongozi wako, wewe unadhani wanakupenda kumbe wanaangalia maslahi yao na siyo ya Taifa.

Denmark wanavunja Diplomatic ties na Tanzania kwa sababu yako wewe, na ukae ukijua siyo Denmark tu, taarifa tulizonazo na za uhakika ni kwamba, Norway, Sweden, na Netherlands watafuata.

Baada ya hapo, Marekani wanailia timing Tanzania waichape vikwazo.

China ni Taifa katili na tapeli hapa Duniani, mataifa yote yaliyodhani China ni msaada kwao leo yanalia.

Rais Samia, kama unadhani CCM ndo Tanzania endelea kuwasikiliza hao uone kitakachotokea.
 
Kwa akili zako unadhani ulivyoandika hapa hayo maushauri mama alikuwa na muda wa kuyasoma?


Hivi mnadhani Rais ni kama moderator wa JamiiForums?

Siku nyingine, gonga hodi ikulu pale uombe appointment ya kulonga na mama....
Umeongea kweli tupu

Agonge hodi pale
 
Kwa akili zako unadhani ulivyoandika hapa hayo maushauri mama alikuwa na muda wa kuyasoma?


Hivi mnadhani Rais ni kama moderator wa JamiiForums?

Siku nyingine, gonga hodi ikulu pale uombe appointment ya kulonga na mama....
Nitaenda mkuu
 
Nyuzi nyingine bwana.....! Eti rais ulimtahadharisha.. Eti unainfo Za denimark kuvunja ubalozi kuliko info alizonazo amiri jeshi mkuu
Mkuu usipende kudharau watu usiowajua, Rais angejua Denmark itavunja uhusiano angefanya jambo kuzuia, hakujua na kuna mengi hayajui,Rais Samuel Doe wa Liberia hakujua kuwa siku aliyokuwa anaenda kuonana na Prince Johnson angetekwa kisha kuteswa kikatili hadi kuuawa.
Rais siyo Mungu eti ajue kila jambo, Dunia ni watu na watu ndo sisi.
Narudia tena, usipende kudharau watu usiowajua.
 
Unajua hizi ni tuhuma kama zile za mtoto wa siro na ni nzito sema na atamgusa mkwe wa samia hata samia mwenyewe
 
Mkuu, nakupa baraka zote za jpili, wewe ni mtu mwema Sana , barikiwa pitia pembe zote za dunia, sio MNAFIKI ,walipenda taifa hili , nami nasema barikiwa anzia unyayo wako mpaka utosi wa kichwa Chako na imekua
Amina mkuu
 
Nyie kenge si mlisema mama ameondoa sukuma gang na kwamba sasa hivi ushauri unatoka msoga!

Mmesahau?

Oh so sorry, kumbe ni nyumbu!3
Mafala sana hao kila kitu wanachofanya kwa kutumia akili zao mbovu kikibuma wanamsingizia kamanda MAGUFULI THE GREAT
 
Back
Top Bottom