Rais Samia, nilikutahadharisha mapema

Jambo lolote linaloandikwa mtandaoni,kama linamhusu raisi huwa anafikishiwa moja kwa moja,kuna watu wanafanya kazi hiyo,raisi siyo mfalme au malkia.
 
Kufungu ubalozi siyo kuvunja diplomatic ties na nchi. Kuna nchi nyingi zina diplomatic ties na Tanzania bila kuwa na ofisi za ubalozi Tanzania
Kufunga ubalozi uliodumu zaidi ya 50yrs sio kitu kidogo. Lakini pia wanapofunga ubalozi Kuna mengi mnakosa Kama nchi na ni ishara ya kudorora kwa mahusiano yaliyodumu kwa miaka zaidi ya 50
 
Sawa, Denmark haitakuwa na ubalozi kwetu baada ya 2024. Then so what? Uwepo wa nchi yetu hauna ubia na nchi nyingine yoyote. Asilimia 99.9999% ya watanzania hatujawahi hata kukutana na mdanish hata mmoja na wala kula au kupumua kwetu hakutegemei mdanish, msweden wala mnorway. Kama wametusaidia huko nyuma au wanaendelea kutusaidia kwa namna moja au nyingine, sisi tunawashukuru tu na tutaendelea kuwashukuru. Lakini kama walitegemea vingine zaidi ya sisi kuwashukuru na kuthamini msaada wao na tumeshindwa kuwatimizia basi sasa sisi tufanyeje!
 
Mbowe ni gaidi,kanasa,uwe mpole
 
Jambo lolote linaloandikwa mtandaoni,kama linamhusu raisi huwa anafikishiwa moja kwa moja,kuna watu wanafanya kazi hiyo,raisi siyo mfalme au malkia.
Aisee....

Hizi shule zetu siku hizi kazi ipo...
 
Wamemtuma Denmark Kama chambo,halafu watafuata wote, Tanzania itakuwa Kama Zimbabwe au zaidi, watch out
Kwani Denmark wanafunga ubalozi Tanzania pekee ??

Why mnapenda kupoliticise kila tatizo ?

Ni ukosefu wa HOJA na AGENDA au nini ??
 
Humu wanaingia sana tu tena kuna askari maalum wapo 24hrs.
Kuna siku niliandika uzi saa 9 jioni kumtuhumu kigogo mmoja alitumbuliwa siku ileile saa 12 jioni na wakapiga simu izi ufutwe
Jambo lolote likifika JF hufanyiwa kazi.hata sakata la sabaya lilipofika huku nikajua kazi kwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…