Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unatoombwa wwHivi kwa nini hamtaki kukubali kwamba CCM ilishakubali makosa,na kwamba CCM iliyopo sasa ni CCM mpya?Kwanza upinzani uko wapi wa kuwaletea Watanzania maendeleo.Haya makarai ya zege ya mabepari na watetea mashoga!Hatuwezi kuongozwa na watetea mashoga.Hivi Watanzania mnatuonaje,ni mabwege sana au.
Asante kwa kunitukana,ila message umeipata.unatoombwa ww
na ww umeipata piaAsante kwa kunitukana,ila message umeipata.
Kashasema kwa sasa, tusahau kwanza unafikiria nini?. Tusahau kwanza, maana yake kwa sasa sio kipaumbele chake.WanaJukwaa,
Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza.
Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?
Haki huinua taifa.
Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa anakosea, anapohutubia na kusema Bunge la Katiba badala ya kusema Bunge la bajeti, sasa je mzimu wa Katiba Mpya bado unamsumbua hasa baada ya leo kusema kuwa anapata ' push' nyingi kuhusu Katiba Mpya lakini kwa hilo wasahau kidogo.
Nini maoni yako?
Katika Maisha yangu huwa nawashangaa sana wanaomsifia kikwete kama Rais mzuri....Huo ndio ukweli, bahati mbaya watu wanasahau upesi sana. Hawajui Kikwete alivyoanza vizuri akamaliza vibaya mwenyewe!
Akituchezea tutamlilia muumba wabingu na nchi, àtatusikilizaWanaJukwaa,
Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza.
Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?
Haki huinua taifa.
Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa anakosea, anapohutubia na kusema Bunge la Katiba badala ya kusema Bunge la bajeti, sasa je mzimu wa Katiba Mpya bado unamsumbua hasa baada ya leo kusema kuwa anapata ' push' nyingi kuhusu Katiba Mpya lakini kwa hilo wasahau kidogo.
Nini maoni yako?
Katika Maisha yangu huwa nawashangaa sana wanaomsifia kikwete kama Rais mzuri....
Kikwete aliifanya nchi iichukie CCM na Serikali yake...
WanaJukwaa,
Rais Samia wakati akiwaapisha Mawaziri amesema kuwa amepigiwa sana kelele kuhusu katiba mpya, ila kwa sasa anaomba tusahau kwanza.
Swali ni je kuna uwezekano mama akarudisha mchakato wa katiba au ndio hapa kazi tu?
Haki huinua taifa.
Pia ni zaidi ya mara mbili mama huwa anakosea, anapohutubia na kusema Bunge la Katiba badala ya kusema Bunge la bajeti, sasa je mzimu wa Katiba Mpya bado unamsumbua hasa baada ya leo kusema kuwa anapata ' push' nyingi kuhusu Katiba Mpya lakini kwa hilo wasahau kidogo.(kidogo ) ina maana wacha kwanza aunde serikali yake .