Rais Samia: Nimepigiwa sana kelele kuhusu Katiba, ila kwa sasa tusahau kwanza

Sasa huyu Edo Kumwembe na Chadema walitaka wana ccm wamchukie rais anayetokana na ccm?

Au anafikiri Rais Samia anatekeleza ilani ya Chadema?

Hii jamhuri ya twita inasikitisha sana
 
unatoombwa ww
 
Wapinga maendeleo ndio wanadai katiba mpy mama samia awe macho saa 24. Baada ya kuona wamebanwa kuhusu rushwa na rais aliyetumia mamlaka yake kudhibiti rushwa kwenye mihimili yote wanaona wamekosa pa kutokea.
Demokrasia ya kiliberali wanayodai haifai kwa kutuletea maendeleo nchi zetu changa. Inawafaa wanyonyaji uchwara nchini na mabwana zao nje. Wanataka hali ambayo kiongozi mkuu hana madaraka kikatiba kudhibiti rushwa na dhuluma eti mfumo ndio ufanye kazi.
Watu makini watakubali kiongozi mwadilifu na imara ndio kitu cha kwanza na kwamba huwezi kupata mfumo imara kabla ya kiongozi imara. Bado tunawahita nyerere na magufuli zaidi samia usije ukuanguka mikononi kwa hawa wanaojidai kudai katiba kama vile hatuna katiba. Tutapoteza fedha na muda tena badala ya maendeleo.
Katiba yetu ya sasa inatosha wanaodai katiba mpya waende kenya kuona kama katiba mpya imepunguza rushwa au imeongeza rushwa.
 
Katiba ya Mwaka 1977 is very outdated, msitufitinishe na mama. Yeye anajua katiba yetu ni mfu, msimfundushe la kufanya.
 
Katika Jambo litakalompaisha huyu mama ni katiba mpya na kuachana na maconservative wa chama chake.Akiwaendekeza watamwangusha
 
Kashasema kwa sasa, tusahau kwanza unafikiria nini?. Tusahau kwanza, maana yake kwa sasa sio kipaumbele chake.
 
Akituchezea tutamlilia muumba wabingu na nchi, àtatusikiliza
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…