Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) wa 39 Ukumbi wa Jakaya Kikwete -Dodoma Machi 11, 2025.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema katika kutafuta ufanisi wa utendaji kazi serikalini ilimpasa kufanya mabadiliko ya nafasi mbalimbali za uongozi ili kupata viongozi ambao watakwenda sambamba na kasi ya utendaji.
Rais Samia ameyasema hayo leo Machi 11, 2025 jijini Dodoma katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 39 wa Viongozi wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT).
Rais Samia: DC na DED wanaotaka Kugombea waseme mapema
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa mwongozo kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri na Viongozi wengine ngazi ya Serikali za Mitaa kwa wale wenye nia ya kugombea Ubunge watoe taarifa mapema kwa kuwa wasipofanya hivyo wanaweza kukosa vyote ikiwa hawatafanikiwa kushinda katika Uchaguzi.
Amesema hayo leo Machi 11, 2025 wakati akifungua Mkutano Mkuu wa 39 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), kwenye Ukumbi wa Jakaya Kikwete