Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.
Akizungumza leo, Septemba 10, 2025, mbele ya umati wa wananchi wa Wilaya ya Nzega, mkoani Tabora, Dkt. Samia amesema matumizi bora ya fedha hizo yamewezesha miradi mingi ya maendeleo kuonekana na kutekelezwa kwa ufanisi, sambamba na kudhibiti vitendo vya rushwa.
“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.
Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.
Dkt. Samia pia ametaja tafiti za mashirika mbalimbali zinazohusiana na hali ya rushwa nchini, zikionesha kuwa viwango vya rushwa vimeendelea kupungua kutokana na jitihada za serikali ya awamu ya sita.
Aidha, amewaasa wananchi wa Nzega na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura, kama wanavyojitokeza kwenye mikutano ya kampeni, ili kutumia haki yao ya kikatiba na kuchagua viongozi wanaowataka
Chanzo: Jambo TV
Kwa mara ya kwanza leo amezungumzia Rushwa .
View attachment 3469179
Huyu ni yeye.?
Upore uchaguzi ili upambane na rushwa.Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.
Akizungumza leo, Septemba 10, 2025, mbele ya umati wa wananchi wa Wilaya ya Nzega, mkoani Tabora, Dkt. Samia amesema matumizi bora ya fedha hizo yamewezesha miradi mingi ya maendeleo kuonekana na kutekelezwa kwa ufanisi, sambamba na kudhibiti vitendo vya rushwa.
“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.
Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.
Dkt. Samia pia ametaja tafiti za mashirika mbalimbali zinazohusiana na hali ya rushwa nchini, zikionesha kuwa viwango vya rushwa vimeendelea kupungua kutokana na jitihada za serikali ya awamu ya sita.
Aidha, amewaasa wananchi wa Nzega na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura, kama wanavyojitokeza kwenye mikutano ya kampeni, ili kutumia haki yao ya kikatiba na kuchagua viongozi wanaowataka
Chanzo: Jambo TV
stuka mkuuHATOGOMBEA
Mtu anayetoa rushwa mchana kweupe anawezaje kudhibiti rushwa? Mwanae Abdul amepata wapi mihela ya kununua magari ya kifahari?Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.
Akizungumza leo, Septemba 10, 2025, mbele ya umati wa wananchi wa Wilaya ya Nzega, mkoani Tabora, Dkt. Samia amesema matumizi bora ya fedha hizo yamewezesha miradi mingi ya maendeleo kuonekana na kutekelezwa kwa ufanisi, sambamba na kudhibiti vitendo vya rushwa.
“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.
Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.
Dkt. Samia pia ametaja tafiti za mashirika mbalimbali zinazohusiana na hali ya rushwa nchini, zikionesha kuwa viwango vya rushwa vimeendelea kupungua kutokana na jitihada za serikali ya awamu ya sita.
Aidha, amewaasa wananchi wa Nzega na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura, kama wanavyojitokeza kwenye mikutano ya kampeni, ili kutumia haki yao ya kikatiba na kuchagua viongozi wanaowataka
Iwapo ipo dhamira ya dhati natamraji wanamutaaandaaaoo wooote wakafie jelaa!Kwa mara ya kwanza leo amezungumzia Rushwa .
Ndio kama mtu anayetakiwa kukemea wizi anasema najua mnaiba ila ibeni kidogo kulingana na cheo/dhamana katika kazi maana yake mwenye cheo/dhamana kubwa ataiba sana kuliko mdogo na hivyo kupelekea mdogo pia kufanya juhudi nae afikie viwango vya wizi kama aliye juu yake.Shida ilianzia hapa kwakweli, kuna mdau mmoja alituma kero ya korogwe kuwa kuna rushwa ya ngono kwa anayetaka kupanda daraja, badala ya kuchukua mafuta bohari badala yake wadau wanachukua hela shilingi 300,000
Kwakweli tuna shida sana Kama nchi
😂😂Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.
Akizungumza leo, Septemba 10, 2025, mbele ya umati wa wananchi wa Wilaya ya Nzega, mkoani Tabora, Dkt. Samia amesema matumizi bora ya fedha hizo yamewezesha miradi mingi ya maendeleo kuonekana na kutekelezwa kwa ufanisi, sambamba na kudhibiti vitendo vya rushwa.
“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.
Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.
Dkt. Samia pia ametaja tafiti za mashirika mbalimbali zinazohusiana na hali ya rushwa nchini, zikionesha kuwa viwango vya rushwa vimeendelea kupungua kutokana na jitihada za serikali ya awamu ya sita.
Aidha, amewaasa wananchi wa Nzega na Watanzania kwa ujumla kujitokeza kwa wingi siku ya kupiga kura, kama wanavyojitokeza kwenye mikutano ya kampeni, ili kutumia haki yao ya kikatiba na kuchagua viongozi wanaowataka
Ulisema kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake, Muongo wewe Samia Suluhu Hassan, aka Muuaji wa watanganyika. Mtoto wako Abdul na wenzake uliowaruhusu wewe wanaiba pesa zetu kwa kwenda mbele, wewe unaongea ongea tu. Abdul arudishe pesa zetu. Serikalini wanaiba wewe unanyamaza, mwizi mkubwa wewe.Maendeleo gani zaidi utayaleta, kwani maendeleo gani umeyaleta mwizi wewe?Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.