GE2025 Rais Samia: Ninaahidi kuidhibiti Rushwa kuleta Maendeleo zaidi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Haiwezi kua ivo!!
Sio rahisi!!
 
Wagombea wote wa CCM wamepata teuzi kutokana na RUSHWA including yeye.
Asituhadae akidhani sisi ni mazuzu
 
2030(kina rostam wakipenda) tukipata raisi mzalendo mzawa asiyekula rushwa wala kuzichekea, kuna uwezekano mkubwa ikashindikana kufanya maendeleo haraka, kwani uwezo wa kukopesheka huenda ukawa haupo kabisa, kwa hali ya wanamtandao wanavyokopa kwa uchu.
 
Huyu mzanzibar ameshawaona watanganyika hamna tofauti na matako yake ndio maana anaongea uongo wowote anaojiskia hata kama ni uongo wa maudhi.

Yaani hii serikali yake imepunguza rushwa hapa nchini? Na wakato sasa hivi kila mbongo anatafuta fursa ya kuingia serikalini hili aende akalambe asali(rushwa na kufanya ufisadi)..?

Huyu mama ni tahira kweli acha aendelee kutuona mazuzu, ila mwisho wake unakaribia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…