figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kusanyiko letu leo hapa, Sio kwajili ya kuwazawadia walio shinda kwenye uchaguzi, Lahasha. Bali ni matakwa ya kikatiba. Ya kukabidhiwa dhamana ya kuwa mtumishi Mkuu wa taifa katika kuleta maendeleo endelevu. Kwa maana ya uimara wa kiuchumi, ki siasa, ki diplomasia, na ki jamii. Ili tuweze kuyatimiza. hayo hatunabudi kuhakikisha tunahimizana umoja na upendo kwa nchi yetu. Tunadumisha amani na kuheshimu sheria za nchi.
Kinyume cha hayo, mandamano, vurugu, uvunjifu amani, husababisha maumivu na havileti manufaa wala faida kwa yoyote yule. Niwasihi wa Tanzania. Tuchaguwe hekima badala ya gadhabu Busara badala mihemuko, upendo badala ya chuki, uvumilivu badala vinyongo, umoja badala mdawanyiko, na amani badala vurugu. Laini vile vile, ni wajibu wetu kuchagua unyenyekevu badala ya kiburi, na huruma badala ya hasira.
Taifa letu ni moja na lina nguvu zaidi kuliko mtu yo yote yule. Demokrasia, haipiwi kuwa nani kashinda uchaguzi. Bali kwa jinsi tunavendesha mambo yetu baada ya uchaguzi.
Tutakuwa na nguvu zaidi pale kila sauti chanya au hasi zita kapo sikilizwa, kuheshimiwa na kuthaminiwa. Na vile vile, tunapoweza kuponya wenye maumivu.
Hii si kai ya upande mmoja wa Serikali peke yake, bali ni kwa kila jumuia za wananchi, vyama vya siasa, dini zetu na kila wananchi. Na hapa, ni tumie fusa hii kuwashukuru kwa dhati viongozi wa dini walio himiza amani na upendo katika kipindi chote cha kabla uchaguzi, wakati wa uchaguzi, na sasa bada uchaguzi, wanavyo endelea kuhimiza amani na upendo.