Rais Samia ongea na Waziri wa Ajira aongee na Sekretarieti ya ajira waache kutesa wadogo zetu

Hizo taasisi zenyewe Yale Yale, TRA kaanza mchakato mwezi may, oral imefanyika November

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida bot walitangaza juni,wakatuita agost writen,then oral ikawa Oktoba
ndo nasikilizia mchakato,wakinitema namloga yule mwenye kiti wa oral interview,na jina lake nilichukua,pamoja na afisa utumishi ,hawatopona,hapa nawasikilizia😂🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…