Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Vipi hapo kisarawe mkuu yapo au napo ni yale ya kutoka mto Ruvu?Raisi wetu mama Samia pole kwa majukumu.
Leo nimekusikia ukisema chanzo cha mgao wa maji hapa Dar ni ukame uliopo mto ruvu na sababu ni watu kuharibu mazingira. Naomba nikubaliane na wewe kwenye hili, lakini...
Mkuu ze kanturi iz vere compliketedi,,,Nilitaka nianzishe Uzi kuhusu jambo hili ila ngoja tu niandike hapa:
Wiki iliyopita nilikuwa jijini Mwanza kwa shemeji yangu kushangaa mataa maana kijijini napo Kuna wakati panachosha hasa kiangazi hiki.
Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza mitaa ya Kiseke PPF, Nsumba, nk Kuna watu huu ni mwezi wa nne mabomba hayatoi maji, km 3 tu kutoka ziwa Victoria watu hawana maji,
Yanasemwa mengi sana ila kilichonisikitisha sana ni hili hapa: Ukiwa unatoka Sabasaba kuelekea Buswelu kupitia barabara mpya ya PPF kabla hujafika Nsumba centre mkono wa kulia kwako jirani na msikiti wa Nsumba yupo tajiri mmoja kajenga ghorofa kubwa, jina lake maarufu anaitwa MSHUA sijuhi ni jina lake halisi ama labutani, huyo bwana nona biashara yake kubwa ni malori ya kubeba mchanga ila pia anauza maji kwa wenye viwanda vya matofari. Ndani ya uzio wa nyumba zake ndimo linapopita bomba kuu LA maji (la chuma) kwenda Buswelu, jamaa alitobia lile bomba na anajaza maji kwenye matenki yake bila kupitia mita ya mamlaka ya maji.
Wafanyakazi wa MWAUWASA waligundua wizi huo wa maji ila walishindwa la kumfanya maana zipo tetesi kuwa Juma Aweso Waziri wa maji yupo kwenye payroll ya tajiri huyo, Mkuu wa Wilaya, Mkuu wa Mkoa kwa nyakati tofauti wamekuwa wakifika kwa tajiri huyo ila wananchi wanashangaa hakuna kilichofanyika, taarifa sisizo rasmi zinasema eti tajiri huyo anawajibu viongozi hao kuwa "kamuulizeni Waziri wa Maji!"
Wananchi wanakosa maji, jamaa anaiba maji, idara ya maji wanamuogopa mwizi, hapo ndipo nchi ilipofikia kwa sasa.
Ndio maana nafurahia maisha ya kijijini huku ukijifanya unalindwa na ikulu tunakushughulikia kwa mujibu wa taratibu za mtume na nabii Ng'wana Malundi...pumbavu!
Nikirudi nitaelezea biashara kubwa ya kusambaza maji kwa kutumia magari ya mamlaka inayofanywa na watumishi wa Mwauwasa niliyoiona huko jijini Mwanza...hivi hata ningekuwa Mimi, malipo ya maji kwa wateja wa kawaida inalipwa kwa control number , ila maji yakikatika kwa mteja tunapekeka kwa mteja huyo huyo kwa gari anatulipa cash na wala hatumpi risiti, kwa akili ya kawaida hiyo pesa unadhani inaenda serikalini? jibu ni hapana! Urefu wa kamba hii naweza kuupunguza kwa kuhakikisha maji yanapatikana kweli? Pumbavu!
Nyege hiziVipi hapo kisarawe mkuu yapo au napo ni yale ya kutoka mto Ruvu?
Haya ndio yanamsaidia raisi kutatua tatizoNilitaka nianzishe Uzi kuhusu jambo hili ila ngoja tu niandike hapa:

Umezalisha wangapi kisarawe mkuuNyege hizi
Hoi ungeianzishia uzi ingependeza sana.Nilitaka nianzishe Uzi kuhusu jambo hili ila ngoja tu niandike hapa:

Nilitaka nianzishe Uzi kuhusu jambo hili ila ngoja tu niandike hapa:

Nikirudi nitaelezea biashara kubwa ya kusambaza maji kwa kutumia magari ya mamlaka inayofanywa na watumishi wa Mwauwasa niliyoiona huko jijini Mwanza. Hivi hata ningekuwa Mimi, malipo ya maji kwa wateja wa kawaida inalipwa kwa control number , ila maji yakikatika kwa mteja tunapekeka kwa mteja huyo huyo kwa gari anatulipa cash na wala hatumpi risiti, kwa akili ya kawaida hiyo pesa unadhani inaenda serikalini? jibu ni hapana! Urefu wa kamba hii naweza kuupunguza kwa kuhakikisha maji yanapatikana kweli? Pumbavu!