Dhana ya Utawala bora lazima iambatane na mipaka kwa wakosoaji wa Serikali katika kulifikia lengo lililo jema siku zote.
Ni muda Sasa tangu atutoke mwendazake kumekuwa na jitihada za kufifisha maendeleo ya nchi kwa makusudi makubwa Sana kwa baadhi ya wanasiasa.
Taifa hili linahitaji busara kuliendesha na na wakati mwingine UKALI katika kusimamia maendeleo ya wananchi kuliko kusiliza wanasiasa wenye malengo binafsi.
Mh. Rais kuwa mkali kabisa kwa watu wanaotishia usalama wa nchi kwa mwavuli wa Katiba mpya. Amani tuliyoachiwa ina maana kubwa sanaaa tena Sanaa kwa wasiojua maana halisi ya amani.
Aidha utendaji wa viongozi wetu hauko sawa kabisaa, Kuna viongozi uliowapa dhana wakusaidie hawafanyi kazi zao kwa weledi hata kidogo, ondoa watu wanaokwamisha jitihada zako za kuwaletea maendeleo wananchi.
Kwa mfano hapo nyuma kulitokea tatizo la kununua luku kwa siku 3 watu walikosa umeme, lakini baada ya wazuri mkuu kuingilia Kati waziri alikurupa kuwasimamisha watendaji wale wa mfumo wa luku. Alikuwa wapi kwa siku zote tatu hizo? Mpaka Waziri mkuu? Wananchi walalamike?
Mfano mwingine ni Ujenzi wa Barabara zinanzoendelea, wababaishaji ndio wamepewa tenda kwa misingi ya kujuana Bali wakijua kuwa uwezo hawana na badala yake wananchi wanaumizwa bila sababu. Ukarabati wa kuchukua muda mfupi unachukua muda mrefu bila sababu ya msingi.
Hawa wanaokwamisha, wanavuta tofauti na wewe.
Kuna maeneo watu walishasahau foleni Dsm, Leo hii Mandela road kutokea Mwananchi hadi flyover ya Mfugale unalazimika kutumia masaa matatu. Kwanini iwe hivo wakati wa Ujenzi wa flyover Ile hakukuwa vile?
Mh. Rais kaza kamba ondoa watu wanaozembea tuijenge nchi.