Rais Samia: Ongezeni mabasi ya Mwendokasi, kuna mabasi yapo hayana kazi

Rais Samia: Ongezeni mabasi ya Mwendokasi, kuna mabasi yapo hayana kazi

News Tz1

Member
Joined
Nov 28, 2025
Posts
82
Reaction score
110
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameziagiza mamla zinazohusika na uratibu wa mabasi hayo, kuhakikisha zinaongeza idadi ya mabasi katika maeneo ambayo yanauhitaji mkubwa.

Ametoa agizo hilo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi wa mabasi yaendayo haraka awamu ya pili (BRT II) iliyofanyika eneo la Mtoni (kwa Aziz Ali), jüjini Dar Es Salaam.

"Wakala wa mabasi yaendayo haraka DART, muongeze mabasi katika maeneo kulingana na mahitaji halisi ya abiria, kuna maeneo bado ukipita unakuta kuna makundi ya abiria wanasubiri, lakini kuna mabasi yapo hayana kazi, nataka uongeze mabasi maeneo ambayo abiria ni wengi na wanasubiria" amesema Rais Dkt. Samia.
 
Back
Top Bottom