Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Rais wetu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania tunaelewa kazi kubwa uliyonayo.
Tunaelewa lawama unazobeba kwakua ndiye Rais wa taifa letu.
Tunaelewa kazi kubwa unayofanya ya kututafutia fedha za miradi nje ya nchi. Tunaelewa jinsi ilivyo kazi kutafuta Fedha yoyote ile iwe ya mkopo au ya msaada.
Wapo wengi wanaotafuta fedha za wafadhili au mkopo lakini wanashindwa, unaweza kuzunguka kwenye mabenki au wafadhili lakini ukashindwa kuwashawishi wenye fedha. Lakini wewe Rais wetu Mungu amekupa karama hiyo ya kutuletea Fedha katika taifa letu.
Hata hotuba zako ukiwa nje ya nchi kwenye mikutano ya kimataifa huwa husahau kugusia juu ya changamoto za taifa letu ili watupatie fedha za kuzitatua.
Tunaelewa jinsi ambavyo unapenda Taifa letu liwe bora vile unavyotaka. Tunaelewa sana.
Lakini mama hili ni taifa kubwa sana linawatu wengi changamoto na lawama zitakuwepo. Naona jinsi unavyobeba mzigo wa lawama zetu. Changamoto zipo lakini Mungu akupe ujasiri mkuu mama usijali utashinda yale yote unayowaza yatimie yatatimia.
Naomba kuishia hapa na nikutakie kazi njema Rais wetu.
Ahsante sana.